Hatari sana kujiweka Rehani.
Awamu ya Sita tunawategemea wazungu kwa kiasi kikubwa.
Hii picha ya mwaka gani mbona ina utata?
🤔manguli wa siasa? halafu wanatukana kinoma?Hii mada niliiona FB inajadiliwa na manguli wa siasa yaani ni aibu wanatukana kiouma.
Ngoja wale wanaomuunba mkono waje! Yaani nchi hii haijawahi kuwa kwenye kipindi cha hovyo kama hiki! Tony Blair anawezaje kuwa mshauri wakati si mtu msafi huko kwao?Huyu mama ni Raisi hovyoooooo kuwahi kutokea barani Africa.
Walibeza sana huu uteuzi Sio kutukana[emoji848]manguli wa siasa? halafu wanatukana kinoma?
Kuna tatizo kubwa kama Mkuu wa nchi atakuwa na washauri peke yao walioelimishwa kwa fedha za multilateral institutions au taasisi za magharibi!!! Mlengo wao mara nyingi sio kuwa independent thinkers bali to always lean towards western interests na sio interests za nchi zao!!! Ni vema kama kiongozi akiwa na jopo [ diversity] la washauri hasa kwenye mambo ya uchumi kuliko kumtegemea kiumbe mmoja!!Hatari sana kujiweka Rehani.
Awamu ya Sita tunawategemea wazungu kwa kiasi kikubwa.
Upo nchi gani wewe..? Hii picha si ya mwaka huu huyo muisrael ndo anaongoza ile tour ya mama ya kuutangaza utalii.. lile igizo sijui litatoka lini.Hii picha ya mwaka gani mbona ina utata?
Naona mama ameamua kumkumbatia kabisa Beberu aliyekuwa anakejeliwa na Mtangulizi wake!!
Nyani haoni kundule (ashakum si matusi).Wao Ramaphosa mbona akitishwa na wazungu Tu kuhusu land reforms anaufyata?