Yale mamitambo ya nyungu yapo wapi maana siyaoni tena (ujinga kitu mbaya sana)
Muhimbili nao walijenga NYUNGU sijui kama bado ipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale mamitambo ya nyungu yapo wapi maana siyaoni tena (ujinga kitu mbaya sana)
Ikiwa watanzania tunateseka tangu tupale uhuru unaonaje sasa ubaya kuwakaribisha wazungu ili kurudisha ukoloni tuondokane na mateso yaliyoanza toka baada ya uhuru. Hongera mama samia tuko nyuma yakoWatanzania tunateseka tangu tumepata uhuru, kinacho zungumziwa hapa ni udhaifu wa raisi tu.
Mama inabidi atafute njia mbadala kukabiliana na haya
Ingependeza ungeomba ufafauni kuhusu hilo neno "MATESO" ili ujue nimemaanisha nini na kulenga nyanja ipi na ikupunguzie kazi ya kutafsiri usicho kijua maana naona una changamoto ya kukurupuka mkuu.Ikiwa watanzania tunateseka tangu tupale uhuru unaonaje sasa ubaya kuwakaribisha wazungu ili kurudisha ukoloni tuondokane na mateso yaliyoanza toka baada ya uhuru. Hongera mama samia tuko nyuma yako
Twakuombea kwa Allah akuhifadhi
Mbona mshauri wa chadema Ni Robert Amsterdam hamshangai. Lissu kaamua kuhamia kwake kabisaa na mnaona sawa tuu.Hatari sana kujiweka Rehani.
Awamu ya Sita tunawategemea wazungu kwa kiasi kikubwa.
Chadema ni serikali?Mbona mshauri wa chadema Ni Robert Amsterdam hamshangai. Lissu kaamua kuhamia kwake kabisaa na mnaona sawa tuu.
Kwanini Mazaa aende kutafuta ushauri kote huko, wakati hapo Msoga tu kuna mzee namfahamu anashauri vizuri tu!?!!Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.
Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.
View attachment 1987100
Ccm wala haiitaji kupigiwa kura kutangazwa mshindi wa uchaguzi.CCM itafute mgombea 2025. Vinginevyo yatatokea yale ya 2015. Ni ushauri tu
Rais Kikwete akutana na UK Ex-Prime Minister, Tony Blair ikulu Dar es salaam
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameahidi kuangalia uwezekano wa kuzisaidia shule za sekondari za vijijini katika Tanzania, kwa kuziwekea umeme wa nguvu za jua ili nazo zianze kunufaika na teknolojia ya kisasa katika masomo. Aidha, Bw. Blair ameahidi kuwa atasaidia Tanzania...www.jamiiforums.com
Siyo dhambi kuwategemea wazungu kwenye mambo ya ushauri na teknolojia.Hatari sana kujiweka Rehani.
Awamu ya Sita tunawategemea wazungu kwa kiasi kikubwa.
Hangaya anajipendekeza kwa Majitu meupe.Shirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.
Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.
View attachment 1987100
Sio sahihi, Tanzania sio nchi ambayo imeanza juzi, Samia akitaka kuongea na secretary of state ataongea nae ndani ya mwezi mmoja tu atakuwa tayari ameshampata , hata inaweza isifike mwezi ,week mbili tu.Kuweza kupiga Simu Ikulu ya Washington maana yake ana heshimika kiasi cha simu yake kuweza kupokelewa na kuzungumza, hicho ni kigezo kikubwa sana vinginevyo chanjo zitapatikanaje bila wakuu kutoa ruksa? Sio kila Simu inaweza kupokekelewa White House!!!
Wengine Wanasema eti mbona Mpango alikuwa anamuwakilisha Jiwe na misaada ilikuwa inakuja!! Mpango alikuwa anakutana na watu wa world Bank na IMF kupata mikopo ya miradi; sidhani hata kama aliwahi kukutana na Secretary of state licha ya Waziri wa fedha wa Marekani!!! Chanjo ziko chini ya Serikali ya marekani na bila shaka Balozi Mulamula ndiye aliyeshauri kumtumia Blair Kwani anajua na anauzoefu wa mbinu za kufanikisha kupata chanjo kwa wakati pale zinapohitajika.
Hii nchi tunaelekea kubaya sanaShirika la habari la South Africa walikuwa na mjadala kuhusu Mama Samia kumteua Tony Blair kuwa mshauri wake.
Hoja ya wachambuzi haikuwa kwa nini Tony Blair Bali ilikuwa credibility ya Tony Blair.
Wanasema Tony Blair hana credibility, hivyo kumteua kuwa mshauri ni kosa na wanashangaa imekuwaje Tanzania nchi iliyopigania ukombozi kufanya kitu kama hicho.
Mimi binafsi kwenye hili sijui hata nisimamie wapi maana sijui pa kuanzia, ngoja tuendelee kusubiri wajuvi wakilichambua kwa hoja.
View attachment 1987100
Sasa kama hujiwezi si unaomba msaada kwa mwenye uwezo?Hatari sana kujiweka Rehani.
Awamu ya Sita tunawategemea wazungu kwa kiasi kikubwa.
Duuuuu hii ni hatari sana