Sabodo ndie yule gabachori?
Huwezi amini mzee anajiamini, anasema wazi kuwa CCM imeyumba...kashangazwa na 'muungwana', the outgoing President na mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete, kwa kuwashika mikono na kuwakampenia watuhumiwa wa kesi za ufisadi...
Anasema upinzani si uadui, na bila upinzani madhubuti, serikali (ya chama chochote) iliyoko madarakani itayumba...
Inabidi tupate uthibitisho wa hii habari, tusipongeze wakati habari haijakamilika.Naomba mods mdhibitishe habari hii. samahani mleta hoja, nimekugongea thanks, usimindi ila habari hii ni nzito inahitaji nguvu kwani huenda zikaongezeka soon.
Sabodo ndie yule gabachori?
kweli watanzania na wasio watanzania wameamua kufata mabadiliko