Sabodo aifunda Serikali jinsi ya kuondoa Msongamano katikati ya Jiji

Sabodo aifunda Serikali jinsi ya kuondoa Msongamano katikati ya Jiji

Thereni

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
253
Reaction score
53
Mfanya biashara maarufu Mustafa Sabodo, amekua mwekezaji wa kwanza mzalendo aliyeamua kuwekeza jengo kubwa (parking)kuliko yote jijini Dar kwanza ajili ya parking pekee.

Jengo hilo lipo katika mtaa wa Indiraghandi.

Uwekezaji huu ni funzo kwa Serikali ya CCM na mifuko ya pensheni ambayo imeendelea kujenga majengo makubwa katikati na pembezoni ya jiji yasiyo na parking za kutosha (majengo yote mapya na ya zamani).
 
Ndio unasikia leo habari imechupa hiyo alishatangaza kitambo ,propaganda za kijinga wenzio wanaongea wakiwa wamevaa suruali usije ukashituliwa ukakimbia uchi tunajua unakotaka kuelekea is just waste of time
 
Wadau picha hiyo
 
Attachments

  • 1389817160290.jpg
    1389817160290.jpg
    56.1 KB · Views: 308
Ndio unasikia leo habari imechupa hiyo alishatangaza kitambo ,propaganda za kijinga wenzio wanaongea wakiwa wamevaa suruali usije ukashituliwa ukakimbia uchi tunajua unakotaka kuelekea is just waste of time

Ndugu mambo ya uchi yanatoka wapi tena, mm nimeleta taarifa km ulikua unaijua mbona hukuileta?
 
liwe na insurance ya nguvu maana kuna siku tutaokota vipisi chini. Magari ni mazito sana sijui lilijengwa kuzingatia utaalamu wa ujenzi.
 
Back
Top Bottom