Sabrina Sungura: CHADEMA kuna udini, Waislamu wanabaguliwa linapokuja suala la uteuzi

Sabrina Sungura: CHADEMA kuna udini, Waislamu wanabaguliwa linapokuja suala la uteuzi

Status
Not open for further replies.

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234
Screenshot_20200603-130634.png

Nimehama CHADEMA kwenda CUF ambako hakuna udini, Wabunge wa viti maalum CHADEMA tulikuwa 36 kwa ujumla wetu lakini Waislamu ni watano tu, huko Wilayani Waislamu wengi wanafanya kazi kubwa ya kukinadi Chama lakini ukifika kwenye uteuzi wanabaguliwa"

"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili Watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani, nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
 
View attachment 1467627"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani,nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Mtu kuitwa Sungura una tegemea matendo yake yaweje?
 
Katika nchi hii Kama haupo Chadema jua wewe ni moja ya matusi mazito inayoweza kujipangia na sio vinginevyo, yaani uhame Chadema uende CUF Kisha uendelee kustahili heshima hiyo akili ya hewa chafu na ndio inakustahili.
 
View attachment 1467627"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani,nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Cuf habari mnaleta mambo ya taarabu......mipasho!

Bure kabisa!
 
Huyu Sungura ndiyo ashapotea asitegeme
Kurudi mjengoni maana ubunge wenyewe alipata kwa zali

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili Watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani, nimetukanwa"-Sabrina Sungura.

Verified member, tena wa chama unaleta maneno ya wanawake wanaochambana!
 
Mama kwanini asitulize makalio nyumbani alee watoto, mambo mengine upuuzi kabisa.

[SUP]Ajue tu basi kuwa hata sasa tumesikia jina lake kwa sababu ya CDM-- akijua hilo inatosha.[/SUP]
 
Cuf habari mnaleta mambo ya taarabu......mipasho!

Bure kabisa!
Nyumba yake kawapangisha BAVICHA Kala kodi we
Bavicha walipotoka kwake na kwenda kwenye mjengo wao ndy ananza kulialia
Aise naona Ana mtihani wa Kufuta mirangi mjengo wake sasa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili Watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani, nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Yani siamni kama hii ni official akaunti ya CUF labda TADEA ningeamini.
 
Na wakati huohuo bado yuko bungeni kwa tiketi ya chadema.hatari sana...
 
Tunajua hata hapo ulipohamia hautadumu muda mrefu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom