CUF Habari
JF-Expert Member
- Dec 12, 2019
- 239
- 234
Mtu kuitwa Sungura una tegemea matendo yake yaweje?View attachment 1467627"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani,nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Cuf habari mnaleta mambo ya taarabu......mipasho!View attachment 1467627"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani,nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili Watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani, nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Too low CUF

Nyumba yake kawapangisha BAVICHA Kala kodi weCuf habari mnaleta mambo ya taarabu......mipasho!
Bure kabisa!
Yani siamni kama hii ni official akaunti ya CUF labda TADEA ningeamini.
"Kwa kuwa CHADEMA imemtuma Mbunge Rhoda Kumchela kunitukana kwa kuwa tu nimehama chama na kujiunga na CUF Leo ndio maana nikaona na mie nitapike nyongo zote ili Watanzania waijue CHADEMA ni chama cha aina gani, nimetukanwa"-Sabrina Sungura.
Bavicha mmejenga.......hongereni sana!Nyumba yake kawapangisha BAVICHA Kala kodi we
Bavicha walipotoka kwake na kwenda kwenye mjengo wao ndy ananza kulialia
Aise naona Ana mtihani wa Kufuta mirangi mjengo wake sasa
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app