BrainyChuo
Member
- Sep 20, 2013
- 5
- 0
Nilikutana na dada mmoja nilisoma nae ameolewa na kuachika mara nne na sasa yuko kwenye ndoa ya tano!
Shida ilianza pale nilipo muuliza mumewe mzima! yeye naye aliniuliza yupi ninayemzungumzia
Inawezekanaje mwanamke akaolewa na kuachika zaidi ya mara tano lakini wenzake hawajapata bahati hata ya kuwekwa ndani hata kwa wiki mbili
Wengine wanapiganiwa wakati wengine hawana hata wa kumpa salamu
Wengine wanakataa posa kadhaa wengine hata hajawahi kuahidiwa kuolewa
Tabia? Sura? Uzuri? Urembo? Umbo? Mwonekano? Tabasamu? lugha? Uaminifu? nini hasa?