INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

Mr_Plan

Senior Member
Joined
Oct 2, 2021
Posts
140
Reaction score
194
Natuma ni wazima wa afya,Nilikuwa na naitaji kununua sabufa katika pita pita nimekutana nahii sabufa kwa mwenye kuifahamu vizuri anipe mrejesho kabla sijayavagaa

271449289_994613518139549_1385735202601605248_n.webp (1).jpg
 
takataka izo 5 unapata jbl flip-6 ya 20W tu
Sio kweli.

Nasema sio kweli kwa kuwa Kariakoo naona TV za Alitop zinauzika sana. Zina double glass.

Tena wafanya biashara wanaziponda TV za Samsung na Hisense na kuzisifia hizi.
 
Nyie ndio wale mkifika duka la Electronics mnauliza, nataka TV ya Samsung inchi 32. Singapi?

Badala ya kuuliza hivi TV bora kwa sasa ni ipi na kwanini!
Huna ujualo mkuu.
Gharama na ubora ni pete na kidole.
 
Back
Top Bottom