INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

Jichange tafuta Sony Shake x10D2 achana na hayo matakataka ya china
 
Nafikiri unamaanisha Subwoofer na siyo Sabufa
mwingine juzi kasema anauza saa bufa.... halafu tunajiuliza kwa nini biashara zinatawaliwa na waarabu, wahindi, wayemeni, mpaka Wakenya...

mhindi hawezi kuuza kitu ambacho hajui kukiandika jina lake... una negotiate vipi shipment kutoka Korea, unawekaje order? watoto wa kihindi wanaenda shule kwanza halafu ndio wanaeza ku take over maduka ya baba zao mjini...
 
Hizo za kichina hamna kitu, baada ya muda inaanza kupungua mdundo inakuwa kama inakoroma
 
Back
Top Bottom