INAUZWA Sabufa aina ya Alitop

takataka izo 5 unapata jbl flip-6 ya 20W tu
Sio kweli.

Nasema sio kweli kwa kuwa Kariakoo naona TV za Alitop zinauzika sana. Zina double glass.

Tena wafanya biashara wanaziponda TV za Samsung na Hisense na kuzisifia hizi.
 
Nyie ndio wale mkifika duka la Electronics mnauliza, nataka TV ya Samsung inchi 32. Singapi?

Badala ya kuuliza hivi TV bora kwa sasa ni ipi na kwanini!
Huna ujualo mkuu.
Gharama na ubora ni pete na kidole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…