mwingine juzi kasema anauza saa bufa.... halafu tunajiuliza kwa nini biashara zinatawaliwa na waarabu, wahindi, wayemeni, mpaka Wakenya...
mhindi hawezi kuuza kitu ambacho hajui kukiandika jina lake... una negotiate vipi shipment kutoka Korea, unawekaje order? watoto wa kihindi wanaenda shule kwanza halafu ndio wanaeza ku take over maduka ya baba zao mjini...