Sabuni ya unga

Sabuni ya unga

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Nihatari sana inaunguza korodani kama conc.Acid,usiogee!!
 
uliishiwa pesa ya sabuni au mbupu zilikuwa na madoa au ulikuwa unataka harufu ya sabuni ya unga au ulioga maji uliosuzia nguo...
 
Nihatari sana inaunguza korodani kama conc.Acid,usiogee!!
Uliweka maji kidogo hiyo si kwa kuogea TU hata ukiiweka katika kiganja Cha mkono uweke maji kidogo Kuna reaction intokea inachemka Hadi nyuzi 80-100 hivyo Ni lazima utaungua au utababuka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi vyuma sio mchezo, hata mnyika anajua.
 
Back
Top Bottom