K kimanuamanua Member Joined Sep 25, 2013 Posts 80 Reaction score 15 Feb 26, 2014 #1 Wana jamii, hivi kuna sabuni amabyo ukiitumia mbu wanakukimbia? Maana nafahamu kuna "mosquito spay" ukijipulizia mbu hawa kugusi. Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?
Wana jamii, hivi kuna sabuni amabyo ukiitumia mbu wanakukimbia? Maana nafahamu kuna "mosquito spay" ukijipulizia mbu hawa kugusi. Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?
Majigo JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 5,519 Reaction score 1,828 Feb 26, 2014 #2 mi najua kuna mafuta ya kupaka!