kimanuamanua
Member
- Sep 25, 2013
- 80
- 15
Wana jamii, hivi kuna sabuni amabyo ukiitumia mbu wanakukimbia? Maana nafahamu kuna "mosquito spay" ukijipulizia mbu hawa kugusi.
Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?
Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?