SACP Maigwa: Polisi Kilimanjaro Haina Haja ya Kufanya Operesheni na Mgambo

SACP Maigwa: Polisi Kilimanjaro Haina Haja ya Kufanya Operesheni na Mgambo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Kamanda mkuu wa Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro SACP Simon Maigwa ameeleza kua jeshi la polisi halina upungufu wa kuhitaji kufanya oparation na Jeshi la Akiba (Mgambo)

Ameyasema hayo wakati Kampeni ya Ongea na Kamanda katika ukumbi wa mikutano wa mkoa wa Kilimanjaro Oktoba 20,2026

 
Back
Top Bottom