DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakati Watanzania wengi wakingoja kutumia haki yao ya kikatiba kwa ajili ya kupiga kura tarehe 29 Oktoba, imeelezwa kuwa wapo wanaopotosha ili wanaowafuatilia walipie maudhui yao (subscription).
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi, SACP Richard Thadei Mchomvu amesema wanaofanya hivyo mtandaoni watakamatwa na kufikishwa kwenye mamlaka husika.
“Ujue kuna hela fulani zinalipwa kule (mtandaoni) kwa hiyo mtu anaweka mambo ya hovyo ili apate hela. Sasa namwambia hizo hela zitamtokea puani, sisi tuna uhakika. Wewe usitake kupata hela kwa watu kuingia kwenye akaunti yako ukiweka vitu vya hovyo vya kuidhuru nchi,” amesema SACP Mchomvu.