GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Magari ya Polisi mnayoyaona barabarani yapo ili kuimarisha ulinzi

GE2025 SACP Mtatiro Kitinkwi: Magari ya Polisi mnayoyaona barabarani yapo ili kuimarisha ulinzi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM, Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi ameeleza kuwa kuwepo kwa magari ya polisi barabarani ni kwa ajili ya kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi

“Magari ya polisi mnayoyaona yamesimama barabarani yapo ili kuimarisha ulinzi na watu wasiwe na wasi wasi” - Amesema Kamanda wa Polisi Kinondoni, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Mtatiro Kitinkwi
Soma pia GE2025 - SACP Mtatiro Kitinkwi: Tumejipanga vizuri kwa ajili ya uchaguzi

 
Watakavyokuja ndio tutakavyo wapokea wacha wapark tu hayo mabasi yao njiani hatuna shidaa hata kidogo
 
Back
Top Bottom