funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Mara baada ya kuisikia CV ya Marehemu SACP Richard Abwao (RiP) ndio natambua kwa nini ni mtu mwema sana na aliyetendea haki nafasi yake.
Kumbe kupoa kwa hekaheka za Mikoa ya Simiyu,Shinyanga na sasa Tabora kwa kiasi kikubwa yupo Askari Kamanda mwenye weledi na asiyekuwa na kelele nyuma yake.
PUMZIKA KWA AMANI SACP R.ABWAO
Soma Pia: RPC wa TABORA ACP Richard Abwao afariki dunia
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!