Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

So sad......hatujui sababu lakni.
 
Kaongeza tatizo, badala ya kutatua. Ahera inamngoja.

Umenikumbusha miaka kadhaa wakati napiga shule kuna jamaa alikasirishwa sana na girlfriend wake.Akachukua kamba kwenda kujinyonga ile amefika kwenye mti na ameshaandaa kitanzi kwa ajili ya kujitundika akakumbuka misosi aliyokuwa akila hasa kitimoto akaahilisha mara moja na kurudi shuleni akishangilia.

Yaani huyu jamaa hakuona mengi mazuri ya kufaidi duniani zaidi ya lililomfanya ajinyonge? Ni habari ya kusikitisha na kuhuzunisha sana
 
Acha zako na wewe, kwani huyo wa Mbeya ni Mnyalu? Na yule aliyejinyonga guest Dar es salaam alikuwa Mnyalu? Acheni hizo bwana, wanyalu tulishaacha siku nyingi hizi habari za kujinyonga.
mkuu Lukolo waambie tulisha acha hiyo habari.
 
Last edited by a moderator:



daah
maskin,,
 
Hivi nyie mlisema kisa ni mapenzi,wengine sijui wakijua majibu wanajinyonga ni wapi mmepata taarifa za chanzo cha kifo cha huyu jamaa?.......acheni habari za udaku wa global publishers kuwaaminisha watu kitu kisicho na uhakika. If you dont know the cause why dont you shut up?
 
Acha zako na wewe, kwani huyo wa Mbeya ni Mnyalu? Na yule aliyejinyonga guest Dar es salaam alikuwa Mnyalu? Acheni hizo bwana, wanyalu tulishaacha siku nyingi hizi habari za kujinyonga.

Aisee hata mie Mnyalu tena wa kalenga, Unyalu si kwa kutoka wapi soma jina lake. Hata kama wapo wengine sie tumezidi Lukolo.
 
Mkuu huyu ametokea mbeya kwa kuishi au ki- asilia? Maana hii kwa wale jamaa jirani zao ni kitu cha kawaida tu, kiasili sio mtu wa huo mkoa wa jirani na mbeya kweli?

Anyway! Mwenyezi Mungu akuweke panapostahili Marehemu!
 
Aisee hata mie Mnyalu tena wa kalenga, Unyalu si kwa kutoka wapi soma jina lake. Hata kama wapo wengine sie tumezidi Lukolo.
Majina siku hizi siyo utambulisho, maana sasa hivi kuna akina Mgaya wa Msoma na wengine wa Tanga, kuna akina Matonya wagogo na wengine wahehe, kuna magoha wagogo na wengine wahehe. Kwa hiyo yeye kuwa mbena hakumpi justification ya kuwa mnyalu. Utaratibu wa kujinyonga wanyalu tulishaachana nao bwana. Sioni wanyalu wanaojinyonga siku hizi.
 
Mambo ni mengi sana ndani ya dunia hii na kuishi kwa matumaini ni wachache sana wanaoweza so may be yEs......may be nO.
 
Majibu ya daktari yatakuwa yamemuua kijana.Kosa la marehemu baba....Haku....Mungu amlaze anapostahili
 
Kuna taarifa bwana Sam Mbena aliachwa na mpenzie wa chuo na vilevile alikuwa mvuta bangi na hali yake kiuchumi haikuwa stable cause hata wanafunzi wenzake kuna kipindi walimchangia Ada! But all in all sababu zote hizo haziwezi kuhalalisha kujinyonga kwake!
 
Basi hapa magazeti ya udaku yameshapata habari, copy & paste
 

Mgaya, matonya, magoha ni sawa lakini Mabena labda wewe unawajua, kwa hiyo utambulisho ni mahali mtu anaishi kama mbeya, Nilikuwa na ndugu yangu Mnyalu kama mimi akawa anasema wahehe siku hizi hatujinyongi bwana amini usiamini week mbili baadaye alijiua kwa kujichoma na chupa ya beer na kufa akiwa guest ilituhuzunisha sana, najua wewe haitakuwa hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…