Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

Sad news: Mwanafunzi wa MUCCoBS ajinyonga

Majina siku hizi siyo utambulisho, maana sasa hivi kuna akina Mgaya wa Msoma na wengine wa Tanga, kuna akina Matonya wagogo na wengine wahehe, kuna magoha wagogo na wengine wahehe. Kwa hiyo yeye kuwa mbena hakumpi justification ya kuwa mnyalu. Utaratibu wa kujinyonga wanyalu tulishaachana nao bwana. Sioni wanyalu wanaojinyonga siku hizi.

Mgaya, matonya, magoha ni sawa lakini Mabena labda wewe unawajua, kwa hiyo utambulisho ni mahali mtu anaishi kama mbeya, Nilikuwa na ndugu yangu Mnyalu kama mimi akawa anasema wahehe siku hizi hatujinyongi bwana amini usiamini week mbili baadaye alijiua kwa kujichoma na chupa ya beer na kufa akiwa guest ilituhuzunisha sana, najua wewe haitakuwa hivo.
 
Mungu ampumzishe kwa amani huku akiwapa faraja wazazi, ndugu, jamaa, na wanafunzi wenzake. Apumzike kwa amani.
 
Mgaya, matonya, magoha ni sawa lakini Mabena labda wewe unawajua, kwa hiyo utambulisho ni mahali mtu anaishi kama mbeya, Nilikuwa na ndugu yangu Mnyalu kama mimi akawa anasema wahehe siku hizi hatujinyongi bwana amini usiamini week mbili baadaye alijiua kwa kujichoma na chupa ya beer na kufa akiwa guest ilituhuzunisha sana, najua wewe haitakuwa hivo.
Duh, basi mwisho kubishana na wewe sasa!
 
Hivi nyie mlisema kisa ni mapenzi,wengine sijui wakijua majibu wanajinyonga ni wapi mmepata taarifa za chanzo cha kifo cha huyu jamaa?.......acheni habari za udaku wa global publishers kuwaaminisha watu kitu kisicho na uhakika. If you dont know the cause why dont you shut up?

Eric Shigongo.........
 
Mm nilidhani Mluguru Huyo ni Mnyalukolo na Magufuli kasema jitupeni kwenye lami
Boflo kiboko picha ya handsome unayo?
RIp Mbena
 
Last edited by a moderator:
dah tena ana jina kama langu,si angekuja t hapa geto kwangu kcmc nimpe demu wa bureee coz wapo daah kantia hasira
 
Chuo kikuu cha ushirika chajawa na majonzi ni baada ya mwili wa marehemu samsom marselini kuwagwa ukumbi wa nyerere,na sasa safari ya kumsafirisha kwenda nyumbani kwao njombe iringa imeanza,kuhusu kilichompelekea kifo tunasubiri ripoti kutoka polisi, bwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe,amina rip sam timbe
 
ukienda kununua kamba unaambiwa weka mbali na wahehe,hao kujinyonga ni kawaida yao.RIP
 
Back
Top Bottom