Unahisi ni kwann mkuuTaarifa za vipigo huko pre season hawazi post
Ila wakiogelea na kutomasana ni chap zipo kwenye page yao
Wewe Kwa hii Yanga hata al ahly ana kandwa heavilyCha ajabu hapo ni nini? We Enppi unawachukuliaje? Hata wewe Uto huwezi kuwafunga wale.
Ikawaje mkaishia makundi huku Al Ahly yeye hakuishia makundi?Wewe Kwa hii Yanga hata al ahly ana kandwa heavily
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kikosi Cha saiz ndio balaaIkawaje mkaishia makundi huku Al Ahly yeye hakuishia makundi?
Chezea maji....then lawama Kwa GSMCHEZEAAAA MAJI WEWEE
WENZIO WANACHEZQ MECHII
NYIE MNAOGELEEA PAMBAFUU
Hakuna cha balaa wala nini! Mnaenda kuliaibisha taifa tena.
Tu betHakuna cha balaa wala nini! Mnaenda kuliaibisha taifa tena.
Yaaah mkuu...vijana.wanakandwahizi taarifa ni za kweli