Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

Sad news: Simba wakandwa na ENPPI ya Misri bao 4-3

Simba huwa wanafarijiwa na yule msemaji wao asiyekuwa na akili lakini uhalisia ndo kama hivyo ni vipigo kwenda mbele
 
Kufungwa 4-3 na ENPPI haina maumivu sana kama kufungwa 6-2 na Carabat FC ambayo ilitangzwa kama 0-2
 
Back
Top Bottom