Wamechelew sana mujiandaaNajua izo za Nje ya Nchi Mangungu hazimuhusu ila zinazokuja katika Ngao ya Jamii Mangungu ajiandae.
Wasuburi ngao ya jamiiNa ktk kikosi hicho cha simba mchezaji mmoja pekee ndiye aliyekosekana.
SSK.
Yanga ipi hiyo? Hii ambayo ilishindwa kupata goli Moja tu mbele ya mwarabukoko ili ivuke makundi? Au kuna Yanga nyingine?Wewe Kwa hii Yanga hata al ahly ana kandwa heavily
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Naskia ameachwa TZSimba huwa wanafarijiwa na yule msemaji wao asiyekuwa na akili lakini uhalisia ndo kama hivyo ni vipigo kwenda mbele
HATUMTAKI MANGUNGU...🤣🤣Najua izo za Nje ya Nchi Mangungu hazimuhusu ila zinazokuja katika Ngao ya Jamii Mangungu ajiandae.
Wanaona aibu wakati ni vitu vya kawaida[emoji23]Jamaa wamekausha Kama Hakuna kilichotokea
Mambo ya Budo haya 😀Taarifa za vipigo huko pre season hawazi post
Ila wakiogelea na kutomasana ni chap zipo kwenye page yao
NAKAZIA..Wewe Kwa hii Yanga hata al ahly ana kandwa heavily
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app