Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
tazama katikati ya mapaja yako kuna embe dodo mbili ziitwazo kende KAMA HAKUNA BASI UMEPIGWA DODOKI!
Has he got two balls kweli??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tazama katikati ya mapaja yako kuna embe dodo mbili ziitwazo kende KAMA HAKUNA BASI UMEPIGWA DODOKI!
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha mikakati yake haramu ya kuhakikisha katiba mpya itabeba MATAKWA yote ya NEC.. Jioni ya leo kuanzia saa 9-11 jioni kulikuwa na kikao kikuu cha wilaya/halmashauri ya kinondoni kujadili mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya.. Kikao hicho kimefanyika Mwananyamala ukumbi wa CCM. Mgeni rasmi alikuwa NAPE Nnauye - Katibu wa itikadi na uenezi.
Wahusika katika kikao hicho cha halmashauri ya wilaya ya kinondoni walikuwa ni viongozi wote wa CCM ktk wilaya ya kinondoni. Hawa ni viongozi wa kata zote (yaani Mwenyekiti, katibu na katibu mwenezi) viongozi wa majimbo yote matatu (kinondoni, Kawe na Ubungo), Viongozi wa wilaya (Mwenyekiti, katibu, na katibu mwenezi), na madiwani wa kata zote za wilaya ya kinondoni. Wengine walikuwa ni wageni waalikwa kama vile viongozi wa mkoa, Wajumbe wa mabaraza ya katiba (wengi mno), mgeni - Nape Nnauye, na mimi (sitamtaja aliyenialika kuepuka kumtia hatiani).
Nape Nnauye ndiye aliyekuwa msemaji mkuu na ujumbe aliouleta ni waraka wa NEC kuhusu mabadiliko ya katiba ya nchi!... rasimu - -
1. Wanapinga vikali serikali tatu!... Msimamo wao ni kufuata mfumo uliomo kwenye KATIBA YA CCM (yaani mfumo wa serikali mbili).
2. Wanapinga Vikali mawaziri kutokuwa wabunge!... Msimamo wao Waziri ni lazima awe MBUNGE.
3. Wanapinga vikali mgombea binafsi kwenye nafasi ya uraisi.
4. Wanatarajia kuibadili karibu rasimu nzima na kupitisha matakwa ya NEC ya CCM!...
Wanajiamini kuwa watafanikiwa kwakuwa wananguvu 73% Bungeni na 99% katika MABARAZA ya katiba... Nimeshuhudia kejeli dhidi ya vyama vya upinzani hasa CUF na CHADEMA. Hata wajumbe kutoka majimbo ya Kawe na UBUNGO wanaitwa watu wa Mdee na watu wa Mnyika. Nilipouliza nikaambiwa walizembea na kuwaacha wapinzani kujitwalia majimbo kirahisi.
Mytake: Kama hali iko hivi nchi nzima, AMINI MSIAMINI HAKUNA KATIBA MPYA, ni heri vyama vya siasa vianze kupigania TUME HURU ya UCHAGUZI si KATIBA. Narudia tena Kwa MIKAKATI hii ya CCM katiba itakayopatikana haitakuwa na jipya...
nyie mnaogopa nini? mmekaa kama sio wanaume? mwanaume halalamiki sana anafanya vitendo acheni wajipange watakavyo ikifika siku ya kupiga wakaanza kuchakachua ni mapanga sha sha tu kwa kwenda mbele,,,,wanaowatumia ni binadamu kama sisi wala hawana ROHO MBILI NI MOJA TU IKITOKA NDO IMETOKA.
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha mikakati yake haramu ya kuhakikisha katiba mpya itabeba MATAKWA yote ya NEC.. Jioni ya leo kuanzia saa 9-11 jioni kulikuwa na kikao kikuu cha wilaya/halmashauri ya kinondoni kujadili mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya.. Kikao hicho kimefanyika Mwananyamala ukumbi wa CCM. Mgeni rasmi alikuwa NAPE Nnauye - Katibu wa itikadi na uenezi.
Wahusika katika kikao hicho cha halmashauri ya wilaya ya kinondoni walikuwa ni viongozi wote wa CCM ktk wilaya ya kinondoni. Hawa ni viongozi wa kata zote (yaani Mwenyekiti, katibu na katibu mwenezi) viongozi wa majimbo yote matatu (kinondoni, Kawe na Ubungo), Viongozi wa wilaya (Mwenyekiti, katibu, na katibu mwenezi), na madiwani wa kata zote za wilaya ya kinondoni. Wengine walikuwa ni wageni waalikwa kama vile viongozi wa mkoa, Wajumbe wa mabaraza ya katiba (wengi mno), mgeni - Nape Nnauye, na mimi (sitamtaja aliyenialika kuepuka kumtia hatiani).
Nape Nnauye ndiye aliyekuwa msemaji mkuu na ujumbe aliouleta ni waraka wa NEC kuhusu mabadiliko ya katiba ya nchi!... rasimu - -
1. Wanapinga vikali serikali tatu!... Msimamo wao ni kufuata mfumo uliomo kwenye KATIBA YA CCM (yaani mfumo wa serikali mbili).
2. Wanapinga Vikali mawaziri kutokuwa wabunge!... Msimamo wao Waziri ni lazima awe MBUNGE.
3. Wanapinga vikali mgombea binafsi kwenye nafasi ya uraisi.
4. Wanatarajia kuibadili karibu rasimu nzima na kupitisha matakwa ya NEC ya CCM!...
Wanajiamini kuwa watafanikiwa kwakuwa wananguvu 73% Bungeni na 99% katika MABARAZA ya katiba... Nimeshuhudia kejeli dhidi ya vyama vya upinzani hasa CUF na CHADEMA. Hata wajumbe kutoka majimbo ya Kawe na UBUNGO wanaitwa watu wa Mdee na watu wa Mnyika. Nilipouliza nikaambiwa walizembea na kuwaacha wapinzani kujitwalia majimbo kirahisi.
Mytake: Kama hali iko hivi nchi nzima, AMINI MSIAMINI HAKUNA KATIBA MPYA, ni heri vyama vya siasa vianze kupigania TUME HURU ya UCHAGUZI si KATIBA. Narudia tena Kwa MIKAKATI hii ya CCM katiba itakayopatikana haitakuwa na jipya...
Naona una hamu ya mapanga kama kule kwenu mlikotoka maana mlitumia mapanga kuchinja binadamu wenzenu kama kuku. Sisi hatujafikia huko pamoja na chuki manazojitahidi kuzipandikiza. Kila mtu ana haki ya kujadili katiba so wanaojadili ni watu kama wewe na wewe jadili.nyie mnaogopa nini? mmekaa kama sio wanaume? mwanaume halalamiki sana anafanya vitendo acheni wajipange watakavyo ikifika siku ya kupiga wakaanza kuchakachua ni mapanga sha sha tu kwa kwenda mbele,,,,wanaowatumia ni binadamu kama sisi wala hawana ROHO MBILI NI MOJA TU IKITOKA NDO IMETOKA.
Hivi wapi nitaweza kupata maembe dodo?
Iingelikuwa vyema ukatafakari kuliko kulinganisha maana ukilinganisha na Misri utapotea walipompindua mubaraka walitegemea maziwa na asali Wakapiga kura kwa wingi wakwamweka Morsi hata mwaka Mapinduzi tena so huwa Sasa unafikiri atakayeongoza Misri atatoka mbinguni itabaki kuwa mapinduzi Sasa Chadema sasa hivi kutwa kucha wanaahidi maziwa na asali 2015 natumaini yashuke kama manemane labda, maana wabunge tuliowachagua ndio hao kutwa kucha kwenye maandamano tukiangalia tathmini tangu amechaguliwa kaleta maendeleo gani jimboni hatuoni.Wasubiri yaliyomkuta raisi wa misri
Utaniwia ladhi nikiangalia sura yako na meno yako kwenye avator naogopa sana naona u kama mtu usiyemuungwana ambaye unaona wewe ni kila kitu, Kama jina la Lukosi ni lako kweli mbona huwi muungwana kama walivyo watu wa Dabaga, truly I hate you LukosiHivi wapi nitaweza kupata maembe dodo?
Chama Cha Mapinduzi kimedhihirisha mikakati yake haramu ya kuhakikisha katiba mpya itabeba MATAKWA yote ya NEC.. Jioni ya leo kuanzia saa 9-11 jioni kulikuwa na kikao kikuu cha wilaya/halmashauri ya kinondoni kujadili mapendekezo ya rasimu ya katiba mpya.. Kikao hicho kimefanyika Mwananyamala ukumbi wa CCM. Mgeni rasmi alikuwa NAPE Nnauye - Katibu wa itikadi na uenezi.
Wahusika katika kikao hicho cha halmashauri ya wilaya ya kinondoni walikuwa ni viongozi wote wa CCM ktk wilaya ya kinondoni. Hawa ni viongozi wa kata zote (yaani Mwenyekiti, katibu na katibu mwenezi) viongozi wa majimbo yote matatu (kinondoni, Kawe na Ubungo), Viongozi wa wilaya (Mwenyekiti, katibu, na katibu mwenezi), na madiwani wa kata zote za wilaya ya kinondoni. Wengine walikuwa ni wageni waalikwa kama vile viongozi wa mkoa, Wajumbe wa mabaraza ya katiba (wengi mno), mgeni - Nape Nnauye, na mimi (sitamtaja aliyenialika kuepuka kumtia hatiani).
Nape Nnauye ndiye aliyekuwa msemaji mkuu na ujumbe aliouleta ni waraka wa NEC kuhusu mabadiliko ya katiba ya nchi!... rasimu - -
1. Wanapinga vikali serikali tatu!... Msimamo wao ni kufuata mfumo uliomo kwenye KATIBA YA CCM (yaani mfumo wa serikali mbili).
2. Wanapinga Vikali mawaziri kutokuwa wabunge!... Msimamo wao Waziri ni lazima awe MBUNGE.
3. Wanapinga vikali mgombea binafsi kwenye nafasi ya uraisi.
4. Wanatarajia kuibadili karibu rasimu nzima na kupitisha matakwa ya NEC ya CCM!...
Wanajiamini kuwa watafanikiwa kwakuwa wananguvu 73% Bungeni na 99% katika MABARAZA ya katiba... Nimeshuhudia kejeli dhidi ya vyama vya upinzani hasa CUF na CHADEMA. Hata wajumbe kutoka majimbo ya Kawe na UBUNGO wanaitwa watu wa Mdee na watu wa Mnyika. Nilipouliza nikaambiwa walizembea na kuwaacha wapinzani kujitwalia majimbo kirahisi.
Mytake: Kama hali iko hivi nchi nzima, AMINI MSIAMINI HAKUNA KATIBA MPYA, ni heri vyama vya siasa vianze kupigania TUME HURU ya UCHAGUZI si KATIBA. Narudia tena Kwa MIKAKATI hii ya CCM katiba itakayopatikana haitakuwa na jipya...
Kwa hili CCM wako tayari hata kuona vurugu zikitokea.