Sad news: Taifa kuongozwa na katiba ya ccm kuanzia 2015


Pombe zilikuwepo hapo au? maana kama wana mawazo ya walevi.... Sie ndio wenye nchi na tunataka serikali yetu ya Tanganyika
 

Kama ni hivyo sawa tu!.. Nayo ni njia ya kudai haki.
 
Kwa hili CCM wako tayari hata kuona vurugu zikitokea.
 
mbona ccm ni wadogo sana hata msiangaike nao hao...kwani wako wanachama wako wangapi? Si wanasema wako milioni 5 na sisi wananchi tuko milion zaidi ya 40 sasa nani wenye nguvu??
 
Sad news indeed! Hawa CCM who they hell do they think they are?
 


Tatizo leni ni uvivu wa kusoma na kufikiri.Hivi kwa akili yako unategemea ccm zanzibar watataka serikali mbili??? ccm hana nguvu ya 73% hiyo unajidanganya, kumbuka kuna ccm mchana na usiku ccm haohao ni cdm mabaraza ya katiba kuna mapandikizi kibao ya upinzani wewe kaa subiri utashangazwa na mATOKEO.
 
Naona una hamu ya mapanga kama kule kwenu mlikotoka maana mlitumia mapanga kuchinja binadamu wenzenu kama kuku. Sisi hatujafikia huko pamoja na chuki manazojitahidi kuzipandikiza. Kila mtu ana haki ya kujadili katiba so wanaojadili ni watu kama wewe na wewe jadili.
 
Wasubiri yaliyomkuta raisi wa misri
Iingelikuwa vyema ukatafakari kuliko kulinganisha maana ukilinganisha na Misri utapotea walipompindua mubaraka walitegemea maziwa na asali Wakapiga kura kwa wingi wakwamweka Morsi hata mwaka Mapinduzi tena so huwa Sasa unafikiri atakayeongoza Misri atatoka mbinguni itabaki kuwa mapinduzi Sasa Chadema sasa hivi kutwa kucha wanaahidi maziwa na asali 2015 natumaini yashuke kama manemane labda, maana wabunge tuliowachagua ndio hao kutwa kucha kwenye maandamano tukiangalia tathmini tangu amechaguliwa kaleta maendeleo gani jimboni hatuoni.

Sasa sijui wanafaa tuwachague tena, Hivi maendeleo ya Arusha ni yapi zaidi ya vurugu? kwingineko je? Miaka mitano ndio hiyooo. Yaani tumeishia kutoa maonyo, kwenda kwenye maandamano, vurugu zisizoisha n.k hivi haya ndio maendeleo tuliyoyataka kwa miaka mitano? Halafu bado tunalalamika KATIBA wakati mwanzo tulijidai eti tumejiondoa kwenye masuala ya Katiba tukifikiri tunamkomoa nani? tukajirudisha wenyewe tena tukasema tunajiondoa yaani hatueleweki sasa hivi tunaanza tena kulalamika kweli hatujitambui.
 
Hivi wapi nitaweza kupata maembe dodo?
Utaniwia ladhi nikiangalia sura yako na meno yako kwenye avator naogopa sana naona u kama mtu usiyemuungwana ambaye unaona wewe ni kila kitu, Kama jina la Lukosi ni lako kweli mbona huwi muungwana kama walivyo watu wa Dabaga, truly I hate you Lukosi
 

Wewe tulia ndugu, si unajua 'MFA MAJI HAISHI KUTAPA TAPA'
Mwisho wa siku katiba inapitishwa na wananchi!
 
Jana Jumamosi ilikuwa pawe na mkutano wa wana CCM ukiongozwa na Vuai Ali Vuai katika hoteli ya bwawani - salama Hall. Kwa BAHATI MBAYA AU NZURI, mkutano ukapelekwa katika Taasisi.. Kwa hivo, wazalendo hawakuweza kufika huko. Leo palikuwa na mkutano wa CCM kibanda maiti. Waliakwa wageni akiwemo Komandoo ( Salmin Amour). Wana CCM 9Akina Baraka Shamte) walitegemea makubwa na kwa bahati, viongozi wao hawakuwa na lakusema. Komandoo amewakumbusha wakati wa AFRO SHIRAZI PARTY kwa kuwa, ASP kilitaka uhuru wa mzanzibari. Dr. Schein ndie alie boronga kabisa. Maana, ule msimamo wa chama chake cha serikali mbili hakuutaja kabisa na akabaki kutafuta maneno ya kuwaridhisha UMMA wa kizalendo uliofika kuhudhuria kwa wingi. Mabango yaliojitangaza "ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAE", yalionekana kila kipembe. Sisi wazanzibari tunacho kiomba kwa ndugu zetu wa bara, wadai TANGANYIKA yao.Zanzibar tuna katiba yetu inayo jieleza wazi kabisa na nyinyi daini katiba yenu. Uwepo wa Tanganyika utasaidia kuleta muungano wa Haki na usawa.
 
Nataka niwaambie ndugu zangu watanzania,
Kama hatuatafika siku moja kusimama kwa miguu yetu wenyewe kutetea na kupinga uhuni unaofanywa na CCM katika nchi hii basi tutaendelea kulia kila siku.Nina amini hakuna mabadiliko ya dhati bila kupigana.CCM itatuburuza sana.Tazameni mabaraza ya katiba yalivyochakachuliwa.Kuna uhuni wa hali ya juu sana kuanzaia kwa rais Kikwete hadi mshika mkia kule Amani Makolo kwa Gama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…