Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Mar 1, 2023 #1 Mara nyingi mambo huwaga matamu mwishoooni kabisa, wakati presha na kisukari vishatia nanga, nguvu za kiume ndo hamnaga tena
Mara nyingi mambo huwaga matamu mwishoooni kabisa, wakati presha na kisukari vishatia nanga, nguvu za kiume ndo hamnaga tena
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,631 Reaction score 2,778 Mar 1, 2023 #2 Unatuambiaje sasa Tuache kutafuta pesa kwa ajiri ya kisukari na presha?
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 1, 2023 #3 Just Imagine
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Mar 1, 2023 #4 The most bitter reality of life is that you can not have it all at once. It's up to you to set your priorities straight.
The most bitter reality of life is that you can not have it all at once. It's up to you to set your priorities straight.
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 Mar 1, 2023 #5 Kuna watu pesa kwao sio deal Sana. Yeye apate mwanamke mwenye tako tu. Anaisha kwa amani mbaka uzeeni.
Kuna watu pesa kwao sio deal Sana. Yeye apate mwanamke mwenye tako tu. Anaisha kwa amani mbaka uzeeni.
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Mar 1, 2023 Thread starter #6 Kilawo said: Unatuambiaje sasa Tuache kutafuta pesa kwa ajiri ya kisukari na presha? Click to expand... Hapo ni wewe tu na kuchagua
Kilawo said: Unatuambiaje sasa Tuache kutafuta pesa kwa ajiri ya kisukari na presha? Click to expand... Hapo ni wewe tu na kuchagua
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Mar 1, 2023 Thread starter #7 Numbisa said: Just Imagine Click to expand... Noma sana
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Mar 1, 2023 Thread starter #8 Toxic Concotion said: The most bitter reality of life is that you can not have it all at once. It's up to you to set your priorities straight. Click to expand... Kabisa mzee, na kikubwa zaid ukiweza ifikia furaha kwa vitu vidogo basi inatosha
Toxic Concotion said: The most bitter reality of life is that you can not have it all at once. It's up to you to set your priorities straight. Click to expand... Kabisa mzee, na kikubwa zaid ukiweza ifikia furaha kwa vitu vidogo basi inatosha
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,760 Reaction score 20,837 Mar 1, 2023 #9 Fene said: Kabisa mzee, na kikubwa zaid ukiweza ifikia furaha kwa vitu vidogoa basi inatosha Click to expand... kabisa.
Fene said: Kabisa mzee, na kikubwa zaid ukiweza ifikia furaha kwa vitu vidogoa basi inatosha Click to expand... kabisa.
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Mar 1, 2023 Thread starter #10 Alsino said: Kuna watu pesa kwao sio deal Sana. Yeye apate mwanamke mwenye tako tu. Anaisha kwa amani mbaka uzeeni. Click to expand... Wanawake wenyewe hawa mzee kuwa nao yahitaji uwe na pesa
Alsino said: Kuna watu pesa kwao sio deal Sana. Yeye apate mwanamke mwenye tako tu. Anaisha kwa amani mbaka uzeeni. Click to expand... Wanawake wenyewe hawa mzee kuwa nao yahitaji uwe na pesa