Sad story ya Rah P

Sad story ya Rah P

u dunno me arifu.....huwezi kunifananisha na ile mbwiga .......

afu mnaomwmabia arudi bongo mna roho mbaya kweli....hiow come umwambie mwenzako akaribie moto??



Nimejikuta nacheka hapa mkuu Yo Yo ,kwa hiyo unataka kuwaaminisha watu kuwa kurudi nyumbani kwao ni kukaribia moto...??? Hahahahahahahahahahah.......
 
Last edited by a moderator:
majuu ni majuu arifu inategemea inazichanga vipi karata zako.....wengi tumefanikiwa majuu miaka 30 nilioshi USA na Europe nimefanikiwa sana najivunia kwa hilo.....

Ukienda majuu na kupania kuvaa milegezo na kuishi life style ya mtindo ule lazima ile kwako.....wewe ukipata nafasi ya kufunga mkanda kwea pipa arifu.......kuna raha gani bongo umeme hakuna,mbu nyingi,ujinga wa ccm na serikali yake,kipindupindu na makorokoro mengine......

rah p basi ni bahati mbaya...au alitaka mtu wa dizaini fulani ndio akaishia huko...

da! We Yo Yo unanifurahisha kweli kuna cku ulikuwa unaisifia ccm lakn leo unaiponda. Mie ckuamin kwa unayoyasema we ni Muongo
 
Last edited by a moderator:
Nimepitia michango yote lakini nilichoona ni wengi kuingia kwenye ushabiki tu wa kuponda US na wengine kupingana na wanaoponda.

Ninachoweza kusema ni labda wengi wanachangia lakini hawajaitizama hiyo clip hapo juu,na kama wameitizama,inawezekana hawajaelewa.

Matatizo yaliyompata ni ya kujitakia.Nimesikitishwa sana na stori yake lakini amejitakia na pia hasemi ukweli wote.

Yani mtu aliyekuwa akienda shule,akaambiwa na mwanamme aache shule eti na yeye akakubali,sasa wanawake kudanganywa inatokea marekani peke yake?

Nimesema hajasema ukweli wote kwasababu kuna wakati alisema kuwa manamme wake alimwambia aache kazi na yeye atamlipia ada and everything,halafu akadai kwamba hakujuwa kama alikuwa ni drug lord!Sasa yeye ni kitu gani kilimwaminisha kuwa huyo mwanamme ana uwezo wa kumlipia ada na yeye kubakia nyumbani ama ku concentrate na shule?

Ok,baada ya kuona kwamba halipiwi ada alichukuwa hatua gani?Yeye alichosema ni kwamba sasa mwanamme wake huyo alitaka tu abakie nyumbani,yani awe mama wa nyumbani,again ninaamini kuwa ni mambo ya pesa yaliyomuaminisha kuwa jamaa yuko fit,lakini kuja kusema alikuwa hajui kuwa ni drug dealer,hilo tayari kaongopa.

Kifupi matatizo aliyopitia ni matatizo ambayo mwanamke anaweza kuyapitia akiwa popote pale,na kwa kiasi kikubwa ni wrong decisions.Jambo ambalo halijalishi upo nchi gani.Mistakes are mistakes.

Hilo la wachangiaji karibia wote kusingizia kuwa matatizo aliyoyapata ni kwasababu ya kuwepo kwake US ni kushindwa kuelewa tatizo lilipo hata mara baada ya kuitizama clip hiyo(assume mmefanya hivyo),mbona kuna wasanii wenzake wamefanya makosa makubwa zaidi wakiwa bongo(mfano Ray C,Lulu na wengineo)

Ambao mnaponda US mna chuki zenu binafsi.Toeni ushauri ama mu express sympathies zenu lakini msiwe kama watu wasioweza ku analyze hata mambo madogo.

Kosa alilofanya ni kuacha shule baada ya kudanganywa na mwanamme.Na pia labda angeanza kuhangaika na makaratasi ili unafuu wa kusoma uwepo.
 
kacm kangu nakokanasema is too old to download lol
Afadhali wewe unayesema ukweli kwamba kamchina kako kamegoma kuliko wenye kubandika kwa kuchangia kumbe hawajaiona clip.Ndiyo hapo unakuta wanachoposti na clip yenyewe hata haviendani.
 
Kaka shemeji jmushi1, kama niliielewa clip, ni rahisi kufikirika kuwa kilichomponza ni kuja US. Kwa sababu amesema hakuendelea kupata support kutoka kwa familia yake (labda angesoma chuo bongo, unajua na ujamaa tena. Ukikosa nauli ankal anakupa bila masharti na msosi unapiga tu kwao rafiki).

Lakini pia hajaongopa kuhusu kuachishwa kazi. Nadhani wakati anakutana na drug lord alikuwa desperate for cash na.akamuambia mwanaume mie nahitaji kusoma. Jamaa akasema usijali. Ndo akajikuta anaget stuck. Ni mentality ya wanawake wa kiswahili, kuwa mwanaume atakutoa. Angalia hata clip yenyewe, 50% she was showing her biggest asset, her boot*

Sio chuki na US ama kwingine kokote lakini bila kuwa na mipango ni rahisi kuangukia pua hasa kama ni muoga wa shida kama mimi.
 
Last edited by a moderator:
Dah. Nimemsikitikia sana mwana hip hop huyu, I liked her very much. Nilichokipenda kutoka kwenye kauli zake ni kwamba, haangalii alipojikwaa, anaangalia namna ya kunyanyuka toka hapo alipo ili atimize ndoto zake za miaka yote. Hiki ndio kitu cha msingi kwa sasa. Go go go lady! Hakuna kitakachokuzuia
 
si zani kama tatizo ni kuishi marekani laa tatizo ni tamaa na kupenda kuishi maisha ya juu tusiyo yamudu kazi kwao wasanii wengi hupenda matanuzi bila kuangalia mbele sasa kama huyu ninaimani yeye mwenyewe atakua aliacha shule baada ya kubaini bwana ana hela kama alvyosema anaangalia alipoangukia basi ajiinukie tu aendelee na safari duuh pole yake
 
Sad story...suala sio kuzamia majuu ila alibugi step kwa jamaa muuza unga!
 
Amekwenda US badala ya kupiga kazi (kuosha vyombo, kusafisha vyoo, kufagia barabara) yeye anataka kukaa home na kupigwa pumbu na niggers (wapumbavu sana dhidi ya wanawake)
Umasikini wa kujitakia, hako ka mziki atamuuzia nani? arudi Tz aanze upya, atajificha huko mpaka lini? Angalau hapa atapata social support ya familia
 
Amekwenda US badala ya kupiga kazi (kuosha vyombo, kusafisha vyoo, kufagia barabara) yeye anataka kukaa home na kupigwa pumbu na niggers (wapumbavu sana dhidi ya wanawake)
Umasikini wa kujitakia, hako ka mziki atamuuzia nani? arudi Tz aanze upya, atajificha huko mpaka lini? Angalau hapa atapata social support ya familia

Mkuu samahani lakini naomba kuuliza. Hiyo pumbu hao niggers wanaipigaje?
 
Duh! Lakini anaonekana raundi hii amejipanga. Hiyo collabo na Alpha noma...
 
Uanamke kazi, kaenda usa kadhani kaula, na wazazi wakakata msaada, matokeo mtoto kajiingiza kwenye biashara haramu
 
Amekwenda US badala ya kupiga kazi (kuosha vyombo, kusafisha vyoo, kufagia barabara) yeye anataka kukaa home na kupigwa pumbu na niggers (wapumbavu sana dhidi ya wanawake)
Umasikini wa kujitakia, hako ka mziki atamuuzia nani? arudi Tz aanze upya, atajificha huko mpaka lini? Angalau hapa atapata social support ya familia

Hata akirudi TZ haitakuwa kama zamani! Iliyobaki atafute kazi & arudi shule. Na wala asichague kazi gani hata ya kusafisha choo pouwa tu! Ila asitegemee kuwa music itampa kula US!!!
 
Duh amekuwa bonge nyanya au ndio mambo ya food stamp -: ( ....anyways US is a land of opportunity, she can be anything....
 
Back
Top Bottom