Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Subiri azeeke atamtafuta tu, Kwa Sasa Bado analipa...yupo bizë kukimbizana na Dunia. Hongera Kwa stor nzuri na yenye burudan
 
The really meaning of "LEGEND".

Aisee una zaidi ya talent nimecheka na nimeinjoy kinoma, visa vyote navikumbuka .

Story inachekesha na kutufunza pia, mtiririko wa simulizi ni mzuri mno.

Ahsante Mkuu kwa zawadi Hii ya Weekend.
 
Huyo mama si kajikoboa uso hafanani na miguu yake namjua huyo anapendaga serengt boy afu ni mwasilika wa ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Legend kweli nimeukubali uandishi wako, japokuwa ukikataa shule ila hii story ukisoma unapata mpaka taswira ya tukio. Kweli nimecheka sana kwa umwamba wa mzee wako. Ikiwezekana tunga kitabu juu ya haya uliyotusimulia.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo kweli Mzee wa Bandari
😂😂😂
 
Mzee pamoja na kuwa anakupiga masumbwi ya nguvu. Ikitokea umerudisha, ombea asiumie, akiumia huo ni msala mwingine. Broh wetu wa kwanza aliambiwa ashakuwa mwanaume sasa, akaanzishe mji wake
Kwa Sasa huyo mtoto ana miaka mingapi?
 
Huyo kweli Mzee wa Bandari
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikimkumbuka huyu mzee huwa nacheka tu, ila alikuwa mtu fulani smart saana, hata mkiongea pia unaona kabisa huyu mzee mtu poa, kumbe ana unyama mwingi mwaisa. [emoji23]

Nikikumbuka pale yule braza alipoita mama nakufa[emoji23][emoji1787]
Na pale alipompa [emoji2959]kubwa mkewe, na kumwambia anampenda mwanae, mbona ye alipogigwa hakusema kitu, huwa mbavu sina kabisa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
The really meaning of "LEGEND".

Aisee una zaidi ya talent nimecheka na nimeinjoy kinoma, visa vyote navikumbuka .

Story inachekesha na kutufunza pia, mtiririko wa simulizi ni mzuri mno.

Ahsante Mkuu kwa zawadi Hii ya Weekend.

Hebu tuambie funzo moja kwenye hii simulizi.
 
Huyu jamaa bwana japokuwa alikataa shule, ila nahisi baadaye baada ya kupigika na maisha alirudi shule na akafanya vizuri sana!
 
The really meaning of "LEGEND".

Aisee una zaidi ya talent nimecheka na nimeinjoy kinoma, visa vyote navikumbuka .

Story inachekesha na kutufunza pia, mtiririko wa simulizi ni mzuri mno.

Ahsante Mkuu kwa zawadi Hii ya Weekend.
Pamoja sana mkuu [emoji109]
 
Huyo mama si kajikoboa uso hafanani na miguu yake namjua huyo anapendaga serengt boy afu ni mwasilika wa ukimwi [emoji23][emoji23][emoji23]
Alaf hata hajajichubua, ana rangi yake tu kawaida [emoji28][emoji28]
 
Life lenyewe gumu ili, tunajaribu kupeana good time , [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…