Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Analyse Mzee ananiuliza "Unakunywa pombe?" Nikajibu hapana."Unavuta bangi?" Nikajibu hapana. "Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank?....

Hichi kipande nimecheka sana, bado naitafakari hiyo tank kama ni Kiboko, Simtank or?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzee pamoja na kuwa anakupiga masumbwi ya nguvu. Ikitokea umerudisha, ombea asiumie, akiumia huo ni msala mwingine. Broh wetu wa kwanza aliambiwa ashakuwa mwanaume sasa, akaanzishe mji wake

Alimtia dingi vitasa haswaaa au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama aliyekuzaa amekuita Legend sisi hatupingi.
Hii story inaweza kutengeneza script ya movie kali, hasa kwenye hizo scene za Mzee wako.
Sema issue yako ni ya Kisaikolojia zaidi. Inaonekana Mazako alikuzaa akiwa age imesogea, kama ndio hivyo kuna uwezekano unakabiliana na "mummy things". Wanawake wanaokuvutia ni wale age iliyosogea na ndiwo nature inakusogezea karibu.
Story kali Mkuu.
 
Aisee unajua wamama wenye umri 45 to 55 wana mapenzi sana na huwa hawanaga stress shida ya huyo wako ni ulevi na starehe.Mimi nnae bi mother mmoja ana mahaba usipime.
 
legend kama nakuona ulivyokua unakukuruka na limama la goms na ninavyoyajua majimama ya Dar doh hapo mixer kunyoana misitu ya katikati ya miguu😅😅 nacheka lakini hatari
 
Alaf Wala sio kwamba nilizaliwa mama akiwa na age kubwa sana, maana Nina mdogo wangu anayenifata after me
 
legend kama nakuona ulivyokua unakukuruka na limama la goms na ninavyoyajua majimama ya Dar doh hapo mixer kunyoana misitu ya katikati ya miguu[emoji28][emoji28] nacheka lakini hatari
Weka mbali na watoto hizi mambo [emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…