Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee siku zote hiyo ndio ilikuwa target yake. Mkipigana lazima ahakikishe umekunya. Siku nyingine ukizingua alaf akawa hajiskii kupigana utamskia anakwambia "We unajifanya kidume, juzi si nilikupiga kabali hadi ukanya? Unaumwamba gani?" Lazima uwe mpole [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Analyse Mzee ananiuliza "Unakunywa pombe?" Nikajibu hapana."Unavuta bangi?" Nikajibu hapana. "Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank?....
Hichi kipande nimecheka sana, bado naitafakari hiyo tank kama ni Kiboko, Simtank or?
Mzee pamoja na kuwa anakupiga masumbwi ya nguvu. Ikitokea umerudisha, ombea asiumie, akiumia huo ni msala mwingine. Broh wetu wa kwanza aliambiwa ashakuwa mwanaume sasa, akaanzishe mji wake
Aah bwana wewe mbona unatuzungusha... Mimi nafuatilia haya mazungumzo nione somoHebu kapicha kidogo [emoji28][emoji28][emoji28]
Kweli kabisa. Ni wachache sana wanaoandika na ukapata taswira ya tukio. Nilicheka sana pale mzee aliposema huyu si mdogo amechelewa tu kuzaliwa.Huyu jamaa bwana japokuwa alikataa shule, ila nahisi baadaye baada ya kupigika na maisha alirudi shule na akafanya vizuri sana!
Sio story mkuu ni kisa cha kweliHa ha ha.....story nzur Sana[emoji4][emoji106]
Hapana, mshua alirusha ngumi, broh nae akarusha ngumi. So ngumi kwa ngumi zikakutana. Kwavile mshua hakuwa ametegemea ilo jambo, yeye aliumia zaidi. Kesi ilikuwa kubwa, broh akaambiwa akajitegemee maana anajiweza.Alimtia dingi vitasa haswaaa au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]Kweli kabisa. Ni wachache sana wanaoandika na ukapata taswira ya tukio. Nilicheka sana pale mzee aliposema huyu si mdogo amechelewa tu kuzaliwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Alaf Wala sio kwamba nilizaliwa mama akiwa na age kubwa sana, maana Nina mdogo wangu anayenifata after meKama aliyekuzaa amekuita Legend sisi hatupingi.
Hii story inaweza kutengeneza script ya movie kali, hasa kwenye hizo scene za Mzee wako.
Sema issue yako ni ya Kisaikolojia zaidi. Inaonekana Mazako alikuzaa akiwa age imesogea, kama ndio hivyo kuna uwezekano unakabiliana na "mummy things". Wanawake wanaokuvutia ni wale age iliyosogea na ndiwo nature inakusogezea karibu.
Story kali Mkuu.
Weka mbali na watoto hizi mambo [emoji28][emoji28]legend kama nakuona ulivyokua unakukuruka na limama la goms na ninavyoyajua majimama ya Dar doh hapo mixer kunyoana misitu ya katikati ya miguu[emoji28][emoji28] nacheka lakini hatari