Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Daah Legend[emoji28][emoji28][emoji28] nimecheka zana aisee, mpaka mzee anakuuliza ulikutana wapi na lile Tank, mzee wako amenifurahisha sana
Upo kwenye Uzi huu leo? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Analyse Mzee ananiuliza "Unakunywa pombe?" Nikajibu hapana."Unavuta bangi?" Nikajibu hapana. "Sasa ilikuwaje ukachukua lile tank?....

Hichi kipande nimecheka sana, bado naitafakari hiyo tank kama ni Kiboko, Simtank or?
Hata mimi hapa nimecheka kama chizi aisee
 
Subiri afate nyayo zako, jiandae kupiga vichwa na ngumo kama mzee wako
Hayo mambo yameishia kwangu, uzao wangu I hope watakuwa watulivu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Mzee alinipiga kabali mpaka nikanya.
 
Haka kakipande kamenikosha jamani
 
Daah nimecheka Sana leo
 
Mr Q

Anza na hii. After hapa utanishtua.πŸ˜…
 
Lete ya mwahija
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…