Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu

Hivi mkuu ile stori ya shangazi Mwaija ulishaileta?
 
Analyse hamna mtu humu amewahi kujitokeza kwamba anakufahamu, yaani amekugundua kupitia hizi simulizi?
Kwenye story ya kwanza kabisa walijitokeza watu wawili, maelezo yao yalikuwa very clear wananifahamu, ila nikawakataa 😅😅😅.

From there nikaanza kuweka codes ngumu zaidi....hata Mshua sidhani kama ataweza nitambua. Japo huwa nahisi kama nitaendelea kuandika, lazima yupo atakayenijua tu.
 
Dah sometimes wanaume hua tunajichanganya sana.

Kuna single maza moja lishawai ning'ang'ania nilipe mimba, bahati nzuri tu lilikua na shida ya kupata ujauzito, lasivyo na mm ningekua kwenye situation ya mtoa maada.
Ungempa tu mkuu, au hukumpenda?
 
Bwana aposto ile stori sijaona nyingine mpaka leo nilicheka sana 😁😁
 
Back
Top Bottom