Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiria.Hapana mkuu.
Kwenye story ya kwanza kabisa walijitokeza watu wawili, maelezo yao yalikuwa very clear wananifahamu, ila nikawakataa 😅😅😅.Analyse hamna mtu humu amewahi kujitokeza kwamba anakufahamu, yaani amekugundua kupitia hizi simulizi?
Dah! Nimecheka sanaa😂
Ungempa tu mkuu, au hukumpenda?Dah sometimes wanaume hua tunajichanganya sana.
Kuna single maza moja lishawai ning'ang'ania nilipe mimba, bahati nzuri tu lilikua na shida ya kupata ujauzito, lasivyo na mm ningekua kwenye situation ya mtoa maada.
Pamoja sana mkuu ✊✊Analyse Ni miongoni mwa mastory teller wangu Bora hapa jf wa muda wore, ingawa wapo wengi Sana, Kuna mwamba wa kuitwa konda msafi, BM X6 na wengine wengi