Sad Truth: Sijivunii na mama wa mtoto wangu


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseh
 

RReigns
 
Ahsante sana Legend. Tumeburudika lakini pia tumejifunza.
 

Legend[emoji23][emoji23]
 
Hadi hapo sijaona sababu ya Mzee wako kukuvurumishia masumbwi, labda kwa vile umesema ilikuwa kawaida yenu kupimana ubavu….. pia umekwepa kuelezea vile nawe ulikuwa unampelekea moto au kujihami tu.

Hapo kwenye kimba halafu kabali ikaendelea sitaki kufikiria mbolea ilivyojivuruga kwenye chupi.
 
Yanajiamini balaa kama huna confidensi kaa nayo mbali 😂😂😂
 
Sio Mimi tu, hata kwa kaka zangu ilikua hivyo. Kiufupi Mzee alikuwa sio mchapaji bakora sana. Yeye ukizingua anakuita kiwanjani alaf mnazichapa. Tumepigwa sana ngumi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu ulikuwa unakunya kweli?
Mzee siku zote hiyo ndio ilikuwa target yake. Mkipigana lazima ahakikishe umekunya. Siku nyingine ukizingua alaf akawa hajiskii kupigana utamskia anakwambia "We unajifanya kidume, juzi si nilikupiga kabali hadi ukanya? Unaumwamba gani?" Lazima uwe mpole [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…