Sad: Zari, Diamond waipasua familia ya Ivan, Baba Ivan aongea kwa uchungu

Sad: Zari, Diamond waipasua familia ya Ivan, Baba Ivan aongea kwa uchungu

f4daab6ef4bec1e3ad82374eeab9cfe2.gif
we chalii ndio style yako ya kula?
 
Mkuu urithi hauandikwi pale unapojua sasa kifo kimewadia. Kifo kinaweza kutokea saa yoyote ile hivyo ni vizuri kuwa na will ili kupunguza au kuondoa kabisa magomvi ya kugombea mali.
Asante Mkuu ushauri Mubashara huu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Diamond atakuwa kamloga Ivan ili wajimilikishe mali za marehemu
 
Acheni unafiki ivan hana baba wala mama walishakufa ana babu yake tu mzee pinto tajiri balaa ndo alimpa mkwanja ivan wakwenda sa kuanza kutafuta life huyo ni mjomba wake mlitaka zari akae kimya asipiganie watoto wake kwa akili za mwafrika eti akuwekee mali ukikua akupe thubutuuu labda sio ngozi nyeusi nayo ijua first born pinto aliye chukua jina la babu yake he's 13 mpaka awe mkubwa lini na mali wana weka tu acheni zari asimamie vya wanae kwanza hawaku divorce anahaki kubwa tu
Hao watoto walidondoka migombani au walizaliwa miaka yote na ile ndoa yao ya kimila ilifungiwa ukweni au waache tamaa.
 
Kaka yetu Diamondi fungua macho.... ushaambiwa hata huyo wa mwisho sio wako! Na usisahau kuandika wosia sasa chini ya wanasheria makini
 
Mnatoana Roho Yarabi iiiii, kwa Mali Alizoacha Babaaaaa! Mali za Baba Zinawatoa Roho, Bora Mimi Nikae Peembeniiii!!

Kweli huu, wimbo umeingia kwenye misemo ya Wahenga, kwa kitendo hicho kinachofanywa na familia ya Ivan na Zari.

Hivi kweli Jamani, jina lenyewe halikufanyi mtu umuogope mtu huyo!?

"ZARI " hivi maana ya Zari hapo bongoland si itakuwa ni msala, timbwili, fujo majanga ya mtafaruku hivi!?

Ama, kishwahili ndiyo kinaanza kuniponyoka!!?

Mpenzi, FaizaFoxy , njooooo, neno ZARI linanitoa nishai hapa 🙂🙂🙂🙂
 
Back
Top Bottom