Mnatoana Roho Yarabi iiiii, kwa Mali Alizoacha Babaaaaa! Mali za Baba Zinawatoa Roho, Bora Mimi Nikae Peembeniiii!!
Kweli huu, wimbo umeingia kwenye misemo ya Wahenga, kwa kitendo hicho kinachofanywa na familia ya Ivan na Zari.
Hivi kweli Jamani, jina lenyewe halikufanyi mtu umuogope mtu huyo!?
"ZARI " hivi maana ya Zari hapo bongoland si itakuwa ni msala, timbwili, fujo majanga ya mtafaruku hivi!?
Ama, kishwahili ndiyo kinaanza kuniponyoka!!?
Mpenzi, FaizaFoxy , njooooo, neno ZARI linanitoa nishai hapa ππππ