[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Waafrika banaa.., kumbe hata hao wanaotuaminisha kuwa ni matajiri huwa wanagombea urithi?!
Only in AfricaWakati mwingine unaweza kuandika wosia na bado mijitu iliyobaki ikataka kuuvunja huo wosia ili inufaike yenyewe hata kama haipo kwenye wosia.
Pamojah!Pesa ni Sabuni ya Roho Mama, maneno mengine ni ya kujaza makaratasi na pages za mitandao ya kijamii.
Hakuna cha tajiri wala billionea wote hakuna lolote.
Tena Kama ulikua hujui, , matajiri ndiyo walafi na wafia pesa.
Huyu malaya zari ana shida sanaDuuh.. Mbona anaongea lugha nisioielewa..?
Huyu mzee yupo sawa kabisa zari ni mbwa koko ana tamas kisengeMzee amesisitiza kuwa hagombanii mali yeye kwao utajiri uko ndani ya damu, na amekataa katakata hamtambui Zari na hana haki ya chochote kile manake alienda kuzaa nje naalikua ametolewa mahari...Zari si mjane wa mwanangu na simuhesabu.
We unaonaje kwa mfanoKwani wazazi wa Ivan si washakufa au wamefufuka?
Utawasimamia ww bsLegally watoto ndio warithi na sidhani kama hata wakiulizwa nani awasimamie watamchagua huyo babu uncle
Jibu zuri sanaUngekuwa Kiziwi, ungefanyeje ?
Na hao ndo wabaya.zari akomae tu watoto wake wapate.akizubaa imekula kwake.Ivan wazazi walishafariki kitambo hao ni wajomba tu
A bitch us still a bitch,zari malaya tu hana ishuSasa kama mtoto wa mwisho si wa Diamond (kama kweli kasema hivyo ili apate mali za Ivan) si ndio hata kwa Diamong Zari kajiharibia kabisa?
Yeah, Nilikuelewa vizuri nami nikaongezea kusema , tajiri ndiye mlafi na mfia pesa wa kwanza.Pamojah!
Nlichomaanisha hakuna uhalisia ktk maneno na vitendo vyao.