Mahakama za kule si kama za kwetu hukuZari atashinda asubuhi tu..
Bahati yake inakuja kwasababu wazazi Wa Ivan walishafariki..so hao wanaoongea Ni wajomba tu..Mahakama za kule si kama za kwetu huku
Kama wewe ndio ungekuwa huyo Mwanamke ungekubali?!Hivi kama sisi tungekuwa ni ndugu wa Ivan, tungekuwa tayari kumuacha mtalaka wa ndugu yetu ambaye tayari ana mji mwingine na mume mwingine arithi mali za ndugu yetu?
Wàtafute manager/trustee wa hizo mali (si huyo mwanamke) aweze kuzitunza kwa niaba ya hao watoto mpaka watakapoweza kujitegemea.
Kwa hili povu tafuta nguo uloweke Kesho asubuhi unaamkia kuanika tu.Huyu mzee yupo sawa kabisa zari ni mbwa koko ana tamas kisenge
😀😀😀😀😀. Yaani povu linavyomtoka utadhani yanamhusuuKwa hili povu tafuta nguo uloweke Kesho asubuhi unaamkia kuanika tu.
Uliamwacha mwanaume, amefariki unarudi kutafuta nini? Kama kuna alichoacha angekifuata wakati Ivan akiwa hai. Zari atunze mji wake na mume wake mpya (Diamond).Kama wewe ndio ungekuwa huyo Mwanamke ungekubali?!
mkuu umeelewa hiyo lugha au umebandua kutoka kwa MangeMzee amesisitiza kuwa hagombanii mali yeye kwao utajiri uko ndani ya damu, na amekataa katakata hamtambui Zari na hana haki ya chochote kile manake alienda kuzaa nje naalikua ametolewa mahari...Zari si mjane wa mwanangu na simuhesabu.
Ila sie ngozi nyeusi huwa tuna kawivu flani hivi kaasili hasa ndugu yako wa kiume anapofariki akiwa kijana alafu linapokuja suala la mali za watoto ziwe chini ya wanamwamke (wengi kichwani wanaweka "mwanamke mwenyewe kijana akiolewa itakuaje" wanasahau mwanamke huwa hakimbii watoto labda wachache sana hufanya hivyo)Acheni unafiki ivan hana baba wala mama walishakufa ana babu yake tu mzee pinto tajiri balaa ndo alimpa mkwanja ivan wakwenda sa kuanza kutafuta life huyo ni mjomba wake mlitaka zari akae kimya asipiganie watoto wake kwa akili za mwafrika eti akuwekee mali ukikua akupe thubutuuu labda sio ngozi nyeusi nayo ijua first born pinto aliye chukua jina la babu yake he's 13 mpaka awe mkubwa lini na mali wana weka tu acheni zari asimamie vya wanae kwanza hawaku divorce anahaki kubwa tu
Hao watoto walidondoka migombani au walizaliwa miaka yote na ile ndoa yao ya kimila ilifungiwa ukweni au waache tamaa.
Katafute mkalimaniDuuh.. Mbona anaongea lugha nisioielewa..?
Ya kichato chato hiyoIyo lugha gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wakati mwingine unaweza kuandika wosia na bado mijitu iliyobaki ikataka kuuvunja huo wosia ili inufaike yenyewe hata kama haipo kwenye wosia.
Familia zetu nyingi bado zimeegemea kwa ukoo wa baba. Kwa hivyo hata hao watoto pengine ndugu mojawapo wa Ivan atawachukua au ndugu wanaweza kuamua kugawana. Angekuwepa baba wa Ivan pengine wangekaa kwa babu yao. Na pengine suala hili linakuwa gumu zaidi kwa sababu Zari tayari kaolewa na mwanaume mwingine.Ila sie ngozi nyeusi huwa tuna kawivu flani hivi kaasili hasa ndugu yako wa kiume anapofariki akiwa kijana alafu linapokuja suala la mali za watoto ziwe chini ya wanamwamke (wengi kichwani wanaweka "mwanamke mwenyewe kijana akiolewa itakuaje" wanasahau mwanamke huwa hakimbii watoto labda wachache sana hufanya hivyo)
Sasa mbona huyu aliwakimbia zamani sana watoto wake mpaka akaenda kuzaa wengine nje, ila kama kuna kitu zari anajilaum kwa sasa ni kitendo cha kuzaa tiffa na nillan maana angekuwa hakuwazaa labda kidogo angekuwa na nguvu ya kupata urithiIla sie ngozi nyeusi huwa tuna kawivu flani hivi kaasili hasa ndugu yako wa kiume anapofariki akiwa kijana alafu linapokuja suala la mali za watoto ziwe chini ya wanamwamke (wengi kichwani wanaweka "mwanamke mwenyewe kijana akiolewa itakuaje" wanasahau mwanamke huwa hakimbii watoto labda wachache sana hufanya hivyo)
Hii ni dalili ya usione kobe kainama ujue anatunga sheria. Hapa tutaona sinema nyingine itakayotosha kutufunza walimwengu wakoje. Diamond akae tayari!Diamond Plutniumz wasije wakakufanyia kitu mbaya..... Sijui moyo wako uko normal kwenye beat zake