mashoga mnaanzaga hivi hivi, I am a man how could i put myself in a woman's shoe? pumbavu mkubwa wewe.Kama wewe ndio ungekuwa huyo Mwanamke ungekubali?!
Hajasema hivyo.. Mange anaweka chumvi..Sasa kama mtoto wa mwisho si wa Diamond (kama kweli kasema hivyo ili apate mali za Ivan) si ndio hata kwa Diamong Zari kajiharibia kabisa?
huyo jamaa knichekesha sana, amesema pesa kwao ziko damuni, hata ukimkata, anamwagika pesa badala ya damu. hahaha, mbavu sina. ngoja nirudi nisikilize tena.mkuu umeelewa hiyo lugha au umebandua kutoka kwa Mange
Ongeza hapo na kutawanya usikokusanyaAliandika...ni mapambano ya kawaida ya waafrika..
Kutaka kuvuna wasikopanda
Bibie ana mahesabu ya nguvu!Wakina Esma na mama yake wajipange. Leo kwa Mganda kesho kwa wa Madale
We yanakuhusu mbona umekoment boya wwπππππ. Yaani povu linavyomtoka utadhani yanamhusuu
Kweli mkuu uko sahihiYaani unaweza kuokota panga ikamfyeka mtu miguu, mtu kakuacha mpaka umekufa ndio anarejea kusaka pesa daadek, Hya maisha haya wanaume tujifunze jitu kama Zari linaonekana roho mbaya sana jamaa yupo ktk frizzer wao wanakomaa na mali? Mungu tusaidie na utukumbushe kutumia vyema mali zetu maana kitakachokufaa siku ukifa ni kile kilichotolewa ktk njia yako
Haha mixer kikoromijeYa kichato chato hiyo
Hao watoto alikuwa anaishi nao labda hapo kwenye kuzaa wengine, Hiyo ni changamoto mkuu pale mahusiano yanapovunjika na hasa kama una watoto.....na ni nguvu kuwa na mahusiano mapya ya wazi bila kuwa na katoto ka kuwaunganisha...ila ukirudi kwenye hali halisi bado watoto wana haki ya kupata stahi yao kutokana na jasho la baba yao, hapo changamoto inakuwa nani atasimamia show mama yao au ndugu wa baba yao wakati huo huo muda mwingi watoto wapo na mama yao though wakati mwingine wanakwenda kwa mdingi wao (hapo sasa ndio huwa wanandugu hasa sie wabantu tunapokuwa wagumu kuwakabidhi mali watoto ila wawe chini ya uangalizi wa mama yao)Sasa mbona huyu aliwakimbia zamani sana watoto wake mpaka akaenda kuzaa wengine nje, ila kama kuna kitu zari anajilaum kwa sasa ni kitendo cha kuzaa tiffa na nillan maana angekuwa hakuwazaa labda kidogo angekuwa na nguvu ya kupata urithi
Inahitaji busara sana ila tuliolelewa na mama kutokana na changamoto kama hizi za mzazi mmoja amefariki mapema kiukweli tuna practical experience kama mama akiachiwa watoto aelee ila kikubwa awe anajielewa na ana uwezo wa kulea familia..mara nyingi sie ndugu wa kiume huwa tunawachukua watoto wa ndugu zetu ila tunasahau kwa upande mwingine tunaishi na wake zetu ambao kwa namna moja ama nyingine wanaweza wakawa kikwazo kwa kushangaa kwanini mwanamke mwenzake asipewe watoto (kwani hata yeye moyoni anawaza endapo mumewe ataondoka atapenda yeye a-take care watoto wake.Familia zetu nyingi bado zimeegemea kwa ukoo wa baba. Kwa hivyo hata hao watoto pengine ndugu mojawapo wa Ivan atawachukua au ndugu wanaweza kuamua kugawana. Angekuwepa baba wa Ivan pengine wangekaa kwa babu yao. Na pengine suala hili linakuwa gumu zaidi kwa sababu Zari tayari kaolewa na mwanaume mwingine.
So issue kama unavyosema, ndugu wa Ivan pengine watajiuliza wamwache Zari achukue mali za ndugu yao ampelekee Diamond?
heee!Kwani alikuwa anajua kuandika?
Mnatoana Roho Yarabi iiiii, kwa Mali Alizoacha Babaaaaa! Mali za Baba Zinawatoa Roho, Bora Mimi Nikae Peembeniiii!!
Kweli huu, wimbo umeingia kwenye misemo ya Wahenga, kwa kitendo hicho kinachofanywa na familia ya Ivan na Zari.
Hivi kweli Jamani, jina lenyewe halikufanyi mtu umuogope mtu huyo!?
"ZARI " hivi maana ya Zari hapo bongoland si itakuwa ni msala, timbwili, fujo majanga ya mtafaruku hivi!?
Ama, kishwahili ndiyo kinaanza kuniponyoka!!?
Mpenzi, FaizaFoxy , njooooo, neno ZARI linanitoa nishai hapa ππππ
Mila za waafrica hamzujui uondoke ukaolewe huko, alafu urudi useme nina changu hapa,hupati kitu wanahofia utaenda kutapanya mali za ndugu yao na mwanaume mwingine.Hata hapa Tanzania ufiwe tu na mume alafu wakuone unaingiza mwanaume kwenye nyumba ya ndugu yao unatimuliwa.Mnatoana Roho Yarabi iiiii, kwa Mali Alizoacha Babaaaaa! Mali za Baba Zinawatoa Roho, Bora Mimi Nikae Peembeniiii!!
Kweli huu, wimbo umeingia kwenye misemo ya Wahenga, kwa kitendo hicho kinachofanywa na familia ya Ivan na Zari.
Hivi kweli Jamani, jina lenyewe halikufanyi mtu umuogope mtu huyo!?
"ZARI " hivi maana ya Zari hapo bongoland si itakuwa ni msala, timbwili, fujo majanga ya mtafaruku hivi!?
Ama, kishwahili ndiyo kinaanza kuniponyoka!!?
Mpenzi, FaizaFoxy , njooooo, neno ZARI linanitoa nishai hapa ππππ