Well saidHivi kama sisi tungekuwa ni ndugu wa Ivan, tungekuwa tayari kumuacha mtalaka wa ndugu yetu ambaye tayari ana mji mwingine na mume mwingine arithi mali za ndugu yetu?
Wàtafute manager/trustee wa hizo mali (si huyo mwanamke) aweze kuzitunza kwa niaba ya hao watoto mpaka watakapoweza kujitegemea.