Sadaka ya fungu la 10 ni kiboko ya madeni, mikosi, Laana, kukataliwa

Sadaka ya fungu la 10 ni kiboko ya madeni, mikosi, Laana, kukataliwa

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Wakuu kwa wale wanaolalamika kua michongo yao haifunguki, madeni, mikosi ukata, dawa yao ni hii, watoe sehem ya 10 ya mapato yao hakika hawatajutia maishani kwao daima.
Hata kama huendi katika nyumba ya ibada agiza sehem u.

Ni dawa pekee ya kumaliza changamoto zao za kiuchumi na kijamiii.
 
Unatoaje hela(nguvu yako) kumpa mwanaume mwenzio kwa kisingizio cha sadaka???

Kwa nini asipewe vitu? Viatu, Nguo zilizokubana ndizo zinatakiwa zitolewe kama fungu la kumi sio hela mzee.

Hela hukupa power ya kimaamuzi, iweje umpe mtu sehemu ya power yako.
 
Unatoaje hela(nguvu yako) kumpa mwanaume mwenzio kwa kisingizio cha sadaka???

Kwa nini asipewe vitu? Viatu, Nguo zilizokubana ndizo zinatakiwa zitolewe kama fungu la kumi.
Hapana humpi mtu wewe unakua na mikataba na Mungu wako anaekumiliki yani Mfalme
 
mkuu matajiri weng wangekuwa wakristo lakini cha ajabu ndio wanaongoza kwa umaskini hata top 5 ya matajiri hawapo.
 
Ukipeleka kwa wasabato inafanya kazi, mmiliki wa kiwanda cha Colgate aliwahi kusema kuwa sehemu ya 10 huwa anawapelekea wasabato japo yeye hakuwahi kuwa msabato.
 
Back
Top Bottom