nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Mkuu tafuta nyumba yeyote ya ibada unayoiamini hata kama hutaki kanisani agiza tuKanisa lako liko wapi tuje kusali
Hapana humpi mtu wewe unakua na mikataba na Mungu wako anaekumiliki yani MfalmeUnatoaje hela(nguvu yako) kumpa mwanaume mwenzio kwa kisingizio cha sadaka???
Kwa nini asipewe vitu? Viatu, Nguo zilizokubana ndizo zinatakiwa zitolewe kama fungu la kumi.
Yeye zinamfikiaje?Hapana humpi mtu wewe unakua na mikataba na Mungu wako anaekumiliki yani Mfalme