Bila shaka Dini zote zipo Duniani kwa ajili ya ukombozi wa binadamu kiroho. Kwa kuwa ukombozi wa kiroho unategemea ukombozi wa kimwili, na kwa kuwa ukombozi huo tunauhitaji sasa, nashauri nyumba zote za ibada kwa madhehebu yake yote Tanzania nzima kila siku ya ibada kuwa na sadaka 2.
*Sadaka ya kwanza ni ile ya kawaida na sadaka ya pili iwe ni sadaka ya UKOMBOZI.
Sadaka hii ya ukombozi itatumika kugharamia shughuli za Ukombozi zinazofanywa na watu mbalimbali wenye
kiu ya ukombozi wa kweli wa Nchi hii.