Naomba kujua virus vya ukimwi vinauwezo wa kukaa nje ya damau kwa muda gani mana nimechangia mswaki na Mdogo wangu ambae ni mwathirika na yeye alipgia baada ya Massa 24 nikapgia mm nimepewa PEP but zinaniendeshaa sna.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.