SADC inaunga mkono Madagascar na EAC inamuunga mkono Raila Odinga wa Kenya Uenyekiti wa AUC!

SADC inaunga mkono Madagascar na EAC inamuunga mkono Raila Odinga wa Kenya Uenyekiti wa AUC!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Msimamo ndio huo kwamba kila Mtu ashinde mechi zake Kati ya SADC na EAC

Ikumbukwe Tanzania ni mwanachama wa SADC na EAC na tunamuunga Mkono Raila Odinga

Source Citizen TV

Mlale unono 😀
 
Mzungu kungudua binadamu wa kwanza kuwa ni ccm kweli.
IMG_0612.jpeg
 
Back
Top Bottom