MBOKA NA BISO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2025
- 766
- 792
Siku za nyuma, SAMIDRC Mission ilifikia makubaliano na M23, ya kuirahisishia kuondoa wanajeshi wake huko mashariki mwa DRC.
South Africa, kwa kuogopa kuzomewa kama walivyofanyiwa mamruki wa Ulaya, walipokuwa wakipita mpakani mwa Rwanda na DRC, waliiomba M23 kwa makubaliano(Hakika yalikuwa na mshiko mnono), kuwawezesha kuondoka na silaha na vifaa vyao vya jeshi.
Walikubali pia kukarabati uwanja wa Goma, ili utumiwe na wanajeshi hao kuondoka na vitu vyao, bila kupita Rwanda.
Wakati hayo yakiendelea, inaonekana Afrika Kusini ilikuwa tu janja janja, maana haikukubali kuwa imeshindwa na iliowaita waasi.
Baada ya kuwa wanajeshi wa SAMIDRC walitekwa na M23, nchi hii, ilijitahidi sana kuwakomboa kwa kutumia mbinu za kijeshi, mfumo wa Operation Thunderbolt, huko Entebbe; zaidi ya mara mbili, na kuambulia kuuwawa na kukamatwa kwa waliokuwa wanajiita ma komando.
Makomando hawa, walitumia uwanja wa Ndege wa Bujumbura walipotoka nchini mwao South Africa.
Tarehe 11 April, 2025, nje kidogo ya mji wa Goma,kulisikika milio ya risasi, huku ikisemekana ni uvamizi wa FDRL, jeshi la DRC(FARDC) na Wazalendo.
Taarifa za kiinteligensia za awali, zilionyesha kuwa, badhi ya wanajeshi wa jeshi la serikali ya DRC, waliokimbilia katika kambi ya MONUSCO mjini Goma, walihusika.
Taarifa hizi, zilikuja kuweka wazi mpango mzima wa nchi ya South Africa kuhakikisha inatwaa Goma tena, kutoka mikononi mwa M23.
M23, kwa sasa imejiimalisha katika nyanja zote hasa usalama.
Waliovamia, kutokea maeneo ya mjini katikati, wengi wao waliuliwa, wengine wamekamatwa, huko mji wa Goma ukiwa na Operation inayojulikana kama SAFISHA MJI. Operation hii, inalenga kuhakikisha wamiliki wote wa silaha mjini kinyume na sheria, wanakamatwa(watakachofanyiwa, hapo ni M23 tu inajua).
Hali hii, imeilazimu kuiomba MONUSCO kuhakikisha inawatoa wanajeshi wa serikali wote waliokimbilia kambini humo na kuwakabidhi kwa M23 bila pingamizi.
Hali hii pia, imeilazimisha kuwataka SAMIDRC kuondoka nchini humo mara moja.
Hali hii pia, imeilazimisha M23, kuwataka wanajeshi wote wa SADC kuondoka nchini humo mara baada ya kuona tangazo, alilotoa msemaji mkuu wa AFC/M23, Lawrence KANYUKA.
Hali hii pia, imeilazimisha M23 kusitisha makubaliano ya awali kati yake na SADC ya ukarabati wa uwanja wa ndege wa Goma(Jambo linaloashilia SAMIDRC kupoteza vifaa vyote vya kijeshi na silaha zao).