SADC summit calls Rwanda and Uganda to consider negotiating with all negative forces

nngu007

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
15,860
Reaction score
5,801
MONDAY, JUNE 17, 2013

1-19c5838a05.jpg

2-dce48be9da.jpg

3-41cefb4752.jpg

4-abe46af964.jpg
 
JK alisema kwenye kikao cha AU wakasema aombe radhi!, kabla hajaomba radhi, Ban Ki Moon akampongeza kwa kwa ushauri mzuri uliotukuka!, Hajakaa sawa, Wanyarwanda na Waganda na Wakongo waishio Ubeligiji wakaandamana kumuunga mkono JK kwa wazo lake zuri sana. Sasa SADIC wamepigilia msumali.

Kuficha ukweli ni vigumu sana bwana Kagame. Haya endelea kugoma!
 
Quote 'Vox pupili, Vox Dei' 'The voice of the people is the voice of God"...Hapo M7 na Kagame lazima watakuwa wamezipata salamu barabara. Na wakiendelea kuleta ukaidi ndio utakuwa mwanzo wa kuondolewa madarakani. Na haitakuwa ile staili ya kuwa ati ilikuwa ajali...kuwa haikuwa na kinga🙂!
 
Huyo dikteta Kagame asidhani Rwanda ni Isolated State

Watu wanaotaka mgogoro uishe hawawezi kushauri kinyume na hivi, ila wasiotaka mgogoro kuisha kwa maslahi yao binafsi wataendelea kupinga.
 
Sasa hivi AU nao watawaambia waongee na wapinzani wao. Walikuwa wanawatumia kama kisingizio cha kuleta vurugu kule DRC mara kwa mara. Juzi ili kuonyesha nchi za SADC zipo serious, South Africa imeongeza makomando 1300 na vifaa vya kutosha kule mashariki ya DRC. M23 na wanaowasaidia wameanza kutapatapa.
 
aibu aliyopata kule london hawezi sahau.....
 
message to Kagame.. Mbuyu uling'oka kipindi cha upepo mkali , kwakua ulijitumutua na haukupinda kuupisha upepo upite, mianzi haikuvunjika maana ilijipinda kupisha upepo upite...
 
i hate tuti because of this son called kagamelisation( utusilisation)
 
Huyo dikteta Kagame asidhani Rwanda ni Isolated State
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!
 
Ukweli unabaki pale pale. Kagame hana budi kuongea na "maadui" zake ili amani ipatikane. Vinginevyo muda si mrefu watamtoa kama walivyozoea kupeana vijiti kwa nguvu (kupigana). Mungu awasaidie wanyarwanda wazindukane kabla ya kimbari kikubwa.
 
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!

Wewe Karikenye, acha kung'ang'ania historia ambayo haiwezi kuleta ufumbuzi wa matatizo yaliyopo sasa kuhusiana na hali ya amani ya Rwanda.. Kila mtu anajua nini kilitokea kwenye GENOCIDE, na ndio maana jumuia ya kimataifa iliamua kuungilia kati kwa kuanzisha mahakama ya ICTR Arusha. Ni kipi kisichojulikana hapo?

Ni muhimu kwa wapenda amani kufuata ushauri bora kabisa uliotolewa na Kikwete. Mimi binafsi nampinga sana Kikwete kwa mambo mengi lakini sio kwa hili. Amani ni muhimu sana.
 
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!

Acha ujinga wako na upotoshaji mkubwa, kwa taarifa yako dunia ya 1990's ni tofauti na ya sasa.Kwa taarifa yako kila mtu anajua kuwa alieamirisha ndege ya Ris Habyarimana itunguliwe ni Kagame na makombora yaliyotumika yalitoka Uganda kwenye jeshi la Mseven, na walioitungua ni Lt. Abful Ruzibiba, Meja Jack Nziza na mwingine anaitwa Hakizimana kwa kupokea maelekezo ya Kagame. Na kwa taarifa yako RPF ya Kagame ilifanya mauaji kuliko hata wahutu wa Interahamwe. Acha ushabiki wa Kitusi na propaganda zako zisizo na mshiko,kwa taarifa yako ipo siku ICTR itamtia hatiani Kagame.Kagame anatumia msamiati wa genocide kutafuta sympathy lakini sasa dunia imeshamjua na imeshamchoka.You are just a Tutsi extremist like Kagame your president. Soma hapa mwenyewe

Hungry for Truth, Peace and Justice: Testimony of Abdul Ruzibiza about how mistakes by both the Rwandan Government and the RPF led to the Rwandan genocide of 1994

Central Africa - BREAKING NEWS: Dr. Theogene Rudasingwa Testifies in front of Judge Trevidic
 
haha hahaha aha wamekuamsha ...unajulikana wewe na siasa zako na huna jipya,ndugu zako FDLR mihogo imekwisha kawasaidie!
 
Acha kupotosha watu historia ya rwanda mbona kwa sasa iko wazi sana,hizo propaganda muda wake umefika kikomo
I feel sorry kwa kagame mtutsi mwenzako,his days are numbered....!!dhambi alizozifanya zimeanza kumrudia sasa

Wishful thinking,Kagame angekuwa anasikiliza wapuuzi kama nyie rwanda ingekuwa somalia nyingine...kagame and rwanda are doing fine and soon utaanza kuruka ukuta kwenda Rwanda kumaliza njaa zako
 
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!
UPDF, RPF na Jeshi la Congo, wote kwa namna moja au nyingine ni wanafunzi wa TPDF. Huwezi kukanusha hilo. Kinachoongelewa ni amani na siyo vita, tumechoka kuzingirwa na hawa jamaa kwani wanatupa wasiwasi, na wanatuharibia a potential trading partner. Kama hamtaki kuongea nao, poa tu! lindeni mipaka yenu ila msisogee Congo .... Intervention Brigade imejipanga na mnajua hilo.
 
Back
Top Bottom