Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JK alisema kwenye kikao cha AU wakasema aombe radhi!, kabla hajaomba radhi, Ban Ki Moon akampongeza kwa kwa ushauri mzuri uliotukuka!, Hajakaa sawa, Wanyarwanda na Waganda na Wakongo waishio Ubeligiji wakaandamana kumuunga mkono JK kwa wazo lake zuri sana. Sasa SADIC wamepigilia msumali.
Kuficha ukweli ni vigumu sana bwana Kagame. Haya endelea kugoma!
Huyo dikteta Kagame asidhani Rwanda ni Isolated State
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!Huyo dikteta Kagame asidhani Rwanda ni Isolated State
Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!

huna idea unaongea nini nenda tuu kaendelee na kutafuta maisha kwa kutumia siasa.Huyo dikteta Kagame asidhani Rwanda ni Isolated State
Acha ujinga wako na upotoshaji mkubwa, kwa taarifa yako dunia ya 1990's ni tofauti na ya sasa.Kwa taarifa yako kila mtu anajua kuwa alieamirisha ndege ya Ris Habyarimana itunguliwe ni Kagame na makombora yaliyotumika yalitoka Uganda kwenye jeshi la Mseven, na walioitungua ni Lt. Abful Ruzibiba, Meja Jack Nziza na mwingine anaitwa Hakizimana kwa kupokea maelekezo ya Kagame. Na kwa taarifa yako RPF ya Kagame ilifanya mauaji kuliko hata wahutu wa Interahamwe. Acha ushabiki wa Kitusi na propaganda zako zisizo na mshiko,kwa taarifa yako ipo siku ICTR itamtia hatiani Kagame.Kagame anatumia msamiati wa genocide kutafuta sympathy lakini sasa dunia imeshamjua na imeshamchoka.You are just a Tutsi extremist like Kagame your president. Soma hapa mwenyewe
Hungry for Truth, Peace and Justice: Testimony of Abdul Ruzibiza about how mistakes by both the Rwandan Government and the RPF led to the Rwandan genocide of 1994
Central Africa - BREAKING NEWS: Dr. Theogene Rudasingwa Testifies in front of Judge Trevidic
Acha kupotosha watu historia ya rwanda mbona kwa sasa iko wazi sana,hizo propaganda muda wake umefika kikomo
I feel sorry kwa kagame mtutsi mwenzako,his days are numbered....!!dhambi alizozifanya zimeanza kumrudia sasa
i hate tuti because of this son called kagamelisation( utusilisation)
UPDF, RPF na Jeshi la Congo, wote kwa namna moja au nyingine ni wanafunzi wa TPDF. Huwezi kukanusha hilo. Kinachoongelewa ni amani na siyo vita, tumechoka kuzingirwa na hawa jamaa kwani wanatupa wasiwasi, na wanatuharibia a potential trading partner. Kama hamtaki kuongea nao, poa tu! lindeni mipaka yenu ila msisogee Congo .... Intervention Brigade imejipanga na mnajua hilo.Ben ila hii dunia haiko fair kabisa..!! Sijajua 1994 wakati wa Genocide ulikuwa na umri gani, lakini dunia nzima waliipotezea Rwanda kama ilivyo Somalia leo, Tanzania tulishtuka kwamba ile ilikuwa ni GENOCIDE baada ya kuona maiti zinaingia Mto Kagera mpaka Ziwa Victoria!! Hatukufanya chochote ndugu yangu kuzuia ile GENOCIDE!! Kagame na Bizimungu na RPF yao ndio walioingilia kati na kuimaliza ile GENOCIDE!! Na ukweli ni kwamba Wanajeshi wa Kihutu ndio walioitungua ile ndege, kwa sababu kwa muda mrefu walishataka kuwaua watutsi lakini Rais Habyarimana alikuwa anawazuia ndio maana waliamua wamuue yeye kwanza ili azma yao itimie!! Wale wakuu wa vyombo vya usalama (Mkurugenzi Mkuu wa Intelijensia na CDF) kwa sababu walikuwa wanajua, na walikuwa wote Dar kwenye kikao cha usuluhishi, hawakupanda ile ndege!! Wale wauaji waliokimbilia DRC Jumuia ya Kimataifa including UN hawakufanya jitihada za kuwakamata na kuwafikisha kwenye vyombo vya Dola!! Mwisho, Kabila Senior alisaidiwa na Rwanda na Uganda kuingia madarakani...tatizo alivunja makubaliano yao (MoU)!! The issue is very complex..lakini kwa Rwanda ilipokuwa na walipo sasa hivi.. hata Tanzania hatutaweza kufikia kwa tawala hizi zinazo ng`oa watu kucha na meno!!