SADC yapoteza mawaziri 10 kutokana na Covid19, Tanzania tumejipangaje?

Natamani itokee mjengoni kuwafungua masikio watu dhidi ya kiburi dhuluma, wizi, ubinafsi ,unafiki na uzandiki kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu.
 
Natamani itokee mjengoni kuwafungua masikio watu dhidi ya kiburi dhuluma, wizi, ubinafsi ,unafiki na uzandiki kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu.
Sijakuelewa mkuu
 
We unatakeje!??kufa basi na wewe..
 
Kwamaoni yangu nahisi kama unatulia timing ndo maana tusisitize familia zetu kuzingatia japo kiujanjaujanja tahadhali zilizo wekwa
 
Bongo unamkuta mtu anaamini kabisa kuwa corona imerudi tena na ni kali ila hachukui tahadhari zozote.
 
Virusi vya kwanza walivitengenezea kwao wakaona havitusumbui wa Africa wakaona bora waje watengeneze kirusi huku huku Africa.

Yawezekana kweli kirusi hiki kitasumbua sana Africa maana kimetengenezwa huku huku Africa wazungu watu wabaya sana.
Mgemsikiliza vizuri kauli ya mkewe Bill Gates ndio mgeg'amuwa genge hili la Bill Gates lina malengo gani ya kiwenda wazimu - bahati nzuri utabiri wa Melisa Gates haukuenda vizuri kama walivyo panga/fikilia - ndio maana wazungu wengi walishangaa kwanini Waafrica hawafi kwa wingi kama ilivyo tegemewa, sasa ndio wakabuni kutujia na plan "B" ili watumalize kijumla, kama bado mnafiri eti sijui ni hii second wave ambayo ni mutant virus za COVID-19, you are dead wrong.

Huu ni mpango mahususi wa Bill Gates akishirikiana na Oxford na washiriki wake kuangamiza idadi kubwa ya watu wa Dunia ya tatu huu ndio mwanzo, kama mnafikiti kupoteza Mawaziri zaidi ya kumi kwenye nchi za SADC ndani ya muda mfupi ni jambo dogo - you better think twice,mimi ninao walahumu ni viongozi wa Afrika walio kubali majaribio ya chanjo za Oxford na washiriki wake kufanyika kwenye Mataifa yao specifically South Africa - angalia mawaziri ambao ni wa nchi jirani wa Afrika kusini wanavyo pukutika, wametangazwa kwa kuwa ni mawaziri, je,raia wa kawaidi wapo katika hali gani? Hali sio nzuri hata kidogo.

Rai yangu Viongozi wa Kiafrika wafanye juu chini kuomba msaada wa Serikali ya China waje kufanya uchunguzi wa kina kuhusu hii variant ya Covid-19 hasa hasa maabara au taasisi zilizo kuwa zinatumiwa kusambaza na kuhifadhi chanjo za majaribio ya chanjo za oxford na washiriki wake - inaonekana sehemu hizo ndio breeding ground za variant ya kovidi whether by design or otherwise - uchunguzi wakina ufanyike.

Wachina waombwe kusaidia jinsi ya ku-deal na hii deadly variant ya COVID-19, the soonest the better, Wachina ujuzi huo wanao sana, watusaidie kabla hawa watu hawajatumaliza kama walivyo kuwa wamepania kuwamaliza Wachina.
 

Hapa kwetu Dodoma bado wanaendelea na ukaidi kuwa huyu corona ameogopa kuingia Tanzania?
 
Wazungu wakitaka kutumaliza waafrika itakua ni kitu cha siku kadhaa tu then imeisha hio,tunawategemea kwny kila kitu kuanzia elimu,tech,madawa na kila kitu.
 
Ni Msimu wa Vumbi na Mafua makali.

Wear Mask.

Sanitize often.

Practice Social Distancing.

It helps a lot!

Achana na viporojo vya jonijo.
 
Kwa maisha yalivyo wacha tutangulie mbele za haki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…