Mgombea Ubunge Jimbo la Donge Zanzibar kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Sadifa Juma Hamisi akizungumza na wananchi kwenye Kampeni inayofanyika Septemba 18, 2025, katika Jimbo la Nungwi, visiwani Zanzibar, amesema kuwa Wagombea Urais Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Mwinyi wanafaa kuendelea kuongoza Miaka isiyopungua ishirini kwani huo ndio ukweli
Aidha amesisitiza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inakwenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 kwani utekelezaji umefanyika na hata Wapinzani wanaipenda CCM
Kampeni hiyo imehudhuriwa na Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Samia Suluhu Hassan, pamoja na Mgombea Urais Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi.
Aidha amesisitiza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) inakwenda kushinda kwa kishindo kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025 kwani utekelezaji umefanyika na hata Wapinzani wanaipenda CCM